Zanaco
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 1,611
- 1,590
Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo.
umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika nyumbani Tanzania inauzwa bila hata Kumpatia kifuta machozi muagiza na wengi ni wajasiriamali wadogo wana kopa hela kwenye taasisi za kifedha wanaagiza mizigo kisha ishaishia badarini huu sio ungwana.
Nfumo wakodi pia unapaswa kuwekwa wazi muagizaji kabla ya kuagiza mizigo anapaswa kujua gharama zote kuanzia gharama za TRA TPA TBS na Atho zingine zote waweka wazi ili waagizaji wajue kabla ya kuagiza kama TRA walivyofanya kwenye upande wa magari japokua kodi bado nikubwa mno.
Kama nfanya biashara anaeza kulipa mkopo bank kwanini TRA wasimpe mzigo wake na muda wakulipa badala ya kunadisha mzigo wa mjasiriamali na kumtia umasikini na madeni ya bank anayalipaje?
Kwanini Serekali kupitia TRA wasijenge yard kubwa nje ya bandari badala ya kuuza mizigo ya watu wajenge nje ya bandari ili muagizaji atafute wanunuzi angalau auze sehemu ya mzigo alipie kodi apewe mzigo wake.
kitambulisho cha Taifa kinashindwaje kumsaidia mwagizaji ndogo wa mizigo kujua taarifa zake za kodi kama anakopesheka ili apewe mzigo wake auze kisha alipie kodi badala ya kuuza mzigo wake mbona Unganda hawana bandari kama sisi lakini bidhaa bei nafuu hawanadishi mizigo ya watu.
Mbona hata nchi jirani hakuna utamaduni huu sisi umeupata wapi? Kwanini Serekali isifanye kama Durban tunachukua eneo kama Kigamboni tunalifanya free Duty mizigo inaingia bure kutoka inalipia pesa ya ushuru hii itasaidia sana kukuza uchumi nchi nyingi wataleta mizigo na nchi jirani watakuja kununua hapa badala ya kunadisha mizigo ya watu.
Kodi za custom ziko juu sana nfano ukitumiwa simu moja na ndugu yako kutoka nje ya nchi kwanjia ya Posta au pale airport Mwalimu Nyerere ni aiubu sana unatakiwa kuilipia kodi Fikiria Simu moja au Laptop moja used ni aibu kubwa sana tunadharirisha custom officers wetu nchi inaonekana inanjaa sana utafikiri tumetoka kupigana vita jana.
Mama yangu msikivu niko chini ya miguu yako tusaidie wanyonge tunaumizwa na bandari.