Rais Samia: Hayati Mkapa ndiye bingwa wa Uchumi. Mifumo aliyoasisi ndio inayotumika sasa

Rais Samia amesema hayati Mkapa ndiye aliyeinua uchumi wa nchi yetu baada ya kuishirikisha sekta binafsi kikamilifu

Rais Samia amesema unapotaka kuingia Uchumi wa nchi ushiriki wa sekta binafsi hauepukiki

Chanzo: ITV habari

..Mkapa bingwa wa uchumi?!

..hivi mnawajua Mawaziri wa Fedha na Uchumi waliohudumu ktk awamu ya 3?

..lakini huwezi kumsifia Mkapa ameinua uchumi bila kuwataja mawaziri wake waliomsaidia kazi hiyo.

..mimi kwa leo sitawataja.
 
Kuna uwepo wa technology na kuna sera za nchi zinazoruhusu watu wake kuwa exposed na technology.
Hakuna cha sera, muda ukifika Teknolojia itakulazimisha tu. Tulikua na sera ya kutumia smartphone? Ila sasa hivi zinatumika kwenye kazi nyingi tu za serikali
 
Ww weka ya kwako. Huo ukatili kwa watu kama nyie hata ningekuwa mm ningewafanyia tena zaidi ya hapo.

..jamaa alikuwa akishindwa hoja anakutumia watu wake.

..Roma Mkatoliki alifanya shoo mpaka kijijini kwake lakini akamtumia watu kumteka na kumtesa.
 
..jamaa alikuwa akishindwa hoja anakutumia watu wake.

..Roma Mkatoliki alifanya shoo mpaka kijijini kwake lakini akamtumia watu kumteka na kumtesa.
Nimekuambia hata ningekua mm ningewafanyia zaidi ya hivyo. Wajinga mpo wengi na bahati mbaya mna hadi vyama vyenu
 
My dear list goes to
Julius K. Nyerere
Benjamin W. Mkapa
Jakaya M. Kikwete

Mwinyi kawaida
Magufuli katili
Mama bado ni incumbent
 
Mnaomsifia Mkapa mmeshapitia huu uzi?

 
Viongozi 3 Bora Tangu Tanzania ipate uhuru
1: Julius Kambarage Nyerere
2: John Pombe Magufuli
3: Benjamin Willium Mkapa

Viongozi wa Hovyo kuwahi kutokea walioiharibu Tanzania
1: Samia Suluhu Hassan
2: Hassan Mwinyi
3: Jakaya Kikwete
 
Kwa bahati mbaya Tanzania haikuwahi kupata raisi wa maana hata mmoja, tunalazimisha tu.
Miaka 60 uhuru Hatuna maji, umeme, huduma za Jamii zote zero kabisa.
Wakati nchi ina zaidi ya Utajiri halafu tunawatengenezea sifa, tueni serious Jamani.
 
Back
Top Bottom