Rais Samia: Hatutazuia Maandamano na Mikutano ya Hadhara

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,008
Rais Samia amesema serikali yake haitazuia Maandamano ya Vyama vya Siasa kwani Hiyo ndio demokrasia.

Vyama vya Upinzani vitaendelea kuruhusiwa kufanya Maandamano na Mikutano ya hadhara.

===
Kuhusu siasa Samia amesema, “Uhuru wa kujieleza na kumasisha siasa za ustarabu zenye kulenga kuleta maendeleo ya watu, tunasisitiza kustamiliana na kuzingatia sheria, siasa zetu kisiwe chanzo cha tafruku au machafuko”

"Vyama vya siasa vinafanya shuguli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuaadamana tunawambia ingia barabarani tutawalinda”

Ameeleza kuwa maandamano au kujieleza vyama vya siasa zinaendelea na shughuli zao na wanaendelea kuhamasisha uhuru wa watu kufanya siasa zao.

---
“Vyama vya siasa vinaendelea kufanya shughuli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuandamana tunawaambia ingieni barabarani tutawalinda, wanakwenda weee mpaka wakichoka wanakokwenda wanafika wanafanya yao haya tawanyikeni wanatawanyika, wanaotaka sijui kufanyaje tunawaruhusu, Mtu anatamani kusema tunamwambia kiwanja hiki hapa jukwaa hili, anasema weee akimaliza tunamwambia shuka Baba nenda zako anaenda zake”

“Kwahiyo tunaendelea kutoa uhuru kwa Watu kufanya siasa zao, kuna yale mazoea ya muda mrefu ya siasa za madaraka, kupakana matope na kuzushiana kama zilivyosemwa hapa bado zipo hatukatai bado zipo na nadhani mnazisikia Watu fulani wakisimama hivyo lakini tunaendelea ku-manage”

“Taifa sasa hivi lina Mama na Mama kazi yake kulea, kustahimili na kuhakikisha nyumba ina usalama, kwahiyo Mama yupo katika nafasi ya juu ya Taifa, tutegemee Taifa liendelee kutulia zaidi, jitihada zetu za kuimarisha misingi ya utawala na sheria zinaendelea kutambulika kote Ulimwenguni”
 
Maandamano yasiyo na purukushani na vyombo vya usalama hayana hata mzuka na hayawaamshi wenyewe.😁.

Arab spring ingekuwa hivi bila shaka Zine El Abidine Ben Ali wa Tunisia angekufa akiwa madarakani.
 
Rais Samia amesema serikali yake haitazuia Maandamano ya Vyama vya Siasa kwani Hiyo ndio demokrasia.

Vyama vya Upinzani vitaendelea kuruhusiwa kufanya Maandamano na Mikutano ya hadhara.

===

Kuhusu siasa Samia amesema, “Uhuru wa kujieleza na kumasisha siasa za ustarabu zenye kulenga kuleta maendeleo ya watu, tunasisitiza kustamiliana na kuzingatia sheria, siasa zetu kisiwe chanzo cha tafruku au machafuko”

"Vyama vya siasa vinafanya shuguli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuaadamana tunawambia ingia barabarani tutawalinda”

Ameeleza kuwa maandamano au kujieleza vyama vya siasa zinaendelea na shughuli zao na wanaendelea kuhamasisha uhuru wa watu kufanya siasa zao.

Source: Mwanahalisi Digital
Chawa wanasemaje juu ya hiyo speech?
Kesho utawasikia nao wanaandamana kuunga mkono tamko
 
Rais Samia amesema serikali yake haitazuia Maandamano ya Vyama vya Siasa kwani Hiyo ndio demokrasia.

kuleta maendeleo ya watu, tunasisitiza kustamiliana na kuzingatia sheria,
Huyu mama kwenye hilo amefanya anachomaanisha
Screenshot_20240229_152954_Samsung Internet.jpg
 
Rais Samia amesema serikali yake haitazuia Maandamano ya Vyama vya Siasa kwani Hiyo ndio demokrasia.

Vyama vya Upinzani vitaendelea kuruhusiwa kufanya Maandamano na Mikutano ya hadhara.

===

Kuhusu siasa Samia amesema, “Uhuru wa kujieleza na kumasisha siasa za ustarabu zenye kulenga kuleta maendeleo ya watu, tunasisitiza kustamiliana na kuzingatia sheria, siasa zetu kisiwe chanzo cha tafruku au machafuko”

"Vyama vya siasa vinafanya shuguli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuaadamana tunawambia ingia barabarani tutawalinda”

Ameeleza kuwa maandamano au kujieleza vyama vya siasa zinaendelea na shughuli zao na wanaendelea kuhamasisha uhuru wa watu kufanya siasa zao.

Source: Mwanahalisi Digital
HALI HII INAMKINZA SANA LISSU, MAANA ANGEPENDA YAZUIWE WATU WAPIGWE MABOMU ILI VIBALI VYAKE VIPATE VALIDITY YA UKIMBIZI, MH. SSH, UMAWAWEZA MNO WAHUNI HAWA!
---VURUGU NI FAIDA, VURUGU NI MTAJI - - -
 
Mimi naamini katika mabadiliko ya binadamu aliye hai.

Kama ameanza na hili, inawezekana kabisa akaja kuendelea kuheshimu katiba "fully".

Binadamu pekee wa kumkatia tamaa na ambaye habadiliki ni "maiti".
Tunataka Raisi anaeheshimu Katiba na anaeona MAPUNGUFU ya hii Katiba ya sasa.

Tufanye mabadiliko madogo ya Katiba hii ili tupate TUME HURU YA UCHAGUZI halafu atupe TAREHE ya kuanza MCHAKATO WA KATIBA MPYA.

Hana haja ya KUWAOGOPA WAHAFIDHINA WA CCM.

Akifanya the righ thing tutamuunga mkono.
 
Mmesikia makada wahafidhina mlio maDC, maRC, viongozi wa vijiwe CCM vya bodaboda, viongozi wa kijadi kama chief Rocket kule Mbeya, makada wa UVCCM waliopo JamiiForums n.k

TOKA MAKTABA:

26 February 2024
BODABODA ARUSHA WAANDAMANA KUPINGA MAANDAMANO ya CHADEMA - OCD wa Polisi AWAAMBIA Bodaboda TAWANYIKENI MBELE ya DC...

View: https://m.youtube.com/watch?v=rQr2TFtBUEA

17 February 2024
Mbeya, Tanzania
Machifu wa Mbeya chini ya kiongozi wao Chifu mkuu Rocket Mwashinga ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=RcO4O-ISWlg
 
Rais Samia amesema serikali yake haitazuia Maandamano ya Vyama vya Siasa kwani Hiyo ndio demokrasia.

Vyama vya Upinzani vitaendelea kuruhusiwa kufanya Maandamano na Mikutano ya hadhara.

===

Kuhusu siasa Samia amesema, “Uhuru wa kujieleza na kumasisha siasa za ustarabu zenye kulenga kuleta maendeleo ya watu, tunasisitiza kustamiliana na kuzingatia sheria, siasa zetu kisiwe chanzo cha tafruku au machafuko”

"Vyama vya siasa vinafanya shuguli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuaadamana tunawambia ingia barabarani tutawalinda”

Ameeleza kuwa maandamano au kujieleza vyama vya siasa zinaendelea na shughuli zao na wanaendelea kuhamasisha uhuru wa watu kufanya siasa zao.

Source: Mwanahalisi Digital

naponena kwa mujibu wa katiba aongezwe.
 
Back
Top Bottom