Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,410
74,048
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
 
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo?

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
 
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Matusi ya nini sasa? Jibu hoja kama huna majibu pita bila matusi. Huwa sipendi majibu ya matusi........ Unaweza ukawa na mapenzi na Makonda, lkn si warrant ya matusi! Muulize mama yako kama nina matatizo ya akili. Ananijua fika kuwa mimi ni mzima sina tatizo hata kidogo.
Pili kiingereza hukijui, ungelikuwa unakijua usingeliandika hivyo!
nakutakia mchana mwema!
 
Wivu tu. Darasa la 12 hadi Varcity mtu wa enzi zetu asijue lugha ya mkoloni wako?
Una utani wewe.
 
Kwakweli hata mimi hili swali huwa najiuliza sana, katika wote... kwanini Makonda? Hawakutafakari jamii hapa nchini na kimataifa inamchukulia vipi?

Wenyewe wanadai ni mkakati maalum kwa vijana, kule Jokate na huku Makonda.
Bado, ulikuwa uamuzi mbovu.
 
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Matusi ya nini sasa? Jibu hoja kama huna majibu pita bila matusi. Huwa sipendi majibu ya matusi........ Unaweza uawa na mapenzi na Makonda, lkn si warrant ya matusi! Muulize mama yako kama nina matatizo ya akili. Ananijua fika kuwa mimi ni mzima sina tatizo hata kidogo.
Pili kiingereza hukijui, ungelikuwa unakijua usingeliandika hivyo!
nakutakia mchana mwema!
 
Hata hivyo lengo halijatimia.....yamekuwa mabaya zaifi
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Wengi sana tulijiuliza sana hili swali.

Hivi ndani ya chama hakuna mtu makini ambaye angeweza kuwa msemaji wa chama?

Unamteua kiongizi ambaye amepigwa marufuku kuingia kwenye baadhi ya nchi hapa duniani?
 
Matusi ya nini sasa? Jibu hoja kama huna majibu pita bila matusi. Huwa sipendi majibu ya matusi........ Unaweza ukawa na mapenzi na Makonda, lkn si warrant ya matusi! Muulize mama yako kama nina matatizo ya akili. Ananijua fika kuwa mimi ni mzima sina tatizo hata kidogo.
Pili kiingereza hukijui, ungelikuwa unakijua usingeliandika hivyo!
nakutakia mchana mwema!
Wachana na uvccm maana kwa sasa wamechanganyikiwa na madeni ya benki
 
Back
Top Bottom