saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,258
- 6,222
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Hawa mawaziri hawakufai Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao.
Mawaziri hawa wameshapotoka hawakusaidii zaidi ya kujenga taswira mbaya kwa nchi. Mama usiangalie wala kujali jina la mtu jali watanzania.
Baba wa Taifa letu alituasa unaweza kumpenda mtu, unachoweza ni kula naye, kunywa naye siyo kumpatia uongozi wa nchi. Hustahili kuwa na hawa, JK apumzike asijifanye anajua, km vp agombee 2025.
Ingewezekana peleka marekebisho ya katiba bungeni, Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga

- Mwigulu, huu ni mla rushwa wa kutisha tuna ushahidi wa kutosha hasa vikao vyake vinakuwa Dar na Arusha, tutarusha ushahidi km ww rais wetu ni sawa na Yuda Iskariote
- January Makamba, mama huyu mtu ni mla rushwa wa kutisha na anakuhujumu anataka urais
- Selemani Jafo, huyu hajawahi hata kukutambua km we rais, hakuna anachofanya zaidi ya kukuhujumu.
- Angela Kairuki, km unampenda sana mbadilishe wizara, alipo hajui hata anafanya nini
- Inno Bashungwa, mbadilishe wizara huyu bwanamdogo, wizara ya ujenzi inahitaji mtu km Wiliam Lukuvi, sijajua shida ya huyo mhehe, ni kiburi?
- Ashatu Kijaji, kinachomweka pale ni dini yake au nini, huyo mtafutie kazi nyingine au arudi Mzumbe kufundisha.
- Nape Nnauye, huyu mpumzishe ameshajisahau amebaki kushindana na watu
- Damas Ndumbaro, huyu mtafutie kazi nyingine kwanza hana hata interest na mambo ya michezo
- Pindi Chana, tafuta mwingine rais wetu, huyu ana changamoto yake, mrudishe mbunge wa Kilosa prof. Kabudi.