Rais Samia: 2025 vijikanga visiwachanganye

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,835
Wapiga kura huu ndio ujumbe wenu kutoka Kwa Rais kipenzi chenu ambae anawajali

==

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kupima viongozi kwa vitendo na sio kwa zawadi ndogo ndogo ambazo wamekuwa wakiwapelekea kipindi cha kampeni za uchaguzi.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mimi nipo na Rais Samia mpaka dakika ya Mwisho. namuunga mkono kwa kila kitu .kura yangu ya ndio ni kwake tu .Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.mimi ni nani mpaka niende kinyume na mpango wa Mungu. Ni kichaa tu na mwendawazimu anayeweza kumnyima kura ya ndio Rais Samia.
 
Wewe mwenye unajua kabisa mwenyekiti anadanganya.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mimi nipo na Rais Samia mpaka dakika ya Mwisho. namuunga mkono kwa kila kitu .kura yangu ya ndio ni kwake tu .Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.mimi ni nani mpaka niende kinyume na mpango wa Mungu. Ni kichaa tu na mwendawazimu anayeweza kumnyima kura ya ndio Rais Samia.
Mpaka siku utakapo pata akili sasahivi acha tukusamehe
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mimi nipo na Rais Samia mpaka dakika ya Mwisho. namuunga mkono kwa kila kitu .kura yangu ya ndio ni kwake tu .Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.mimi ni nani mpaka niende kinyume na mpango wa Mungu. Ni kichaa tu na mwendawazimu anayeweza kumnyima kura ya ndio Rais Samia.
Atagombea?
 
Siasa ni siasa kwa kuwa ni mwanasiasa acha afanye siasa ili apite kisiasa,, mwanasiasa wa tanzania na afrika sio mtu wa kuaminika
 
Back
Top Bottom