Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Seriously speaking,
Watanzania tulitegemea nini kutoka kwa Kikwete?
Waliompigia kura walitegemea ari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya!
Seriously speaking,
Watanzania tulitegemea nini kutoka kwa Kikwete?
Waliompigia kura walitegemea ari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya!
Siasa Safi na Uongozi Bora
Kama Watanzania walitegemea cho chote tofauti kutoka kwa Kikwete, tatizo kubwa si Kikwete, bali Watanzania wenyewe.
Mzee mwana kijiji mbona hutuletei hadithi tena umeng'ang'ana kutangza hicho kijarida tueleze ndugu yangu una hisa huko?Watanzania wana matatizo gani?
Watanzania wana matatizo gani?
Kama ungekuwa wewe rais ungefanya nini?Sehemu ya hotuba ya Rais Kikwete inayothibitisha kuwa hana mawazo ya kuinua hali ya maisha ya watanzania bila ya kukinga mikono kwa nchi matajiri; asilimia 99 ya mambo anayotaka nchi matajiri zifanye kwa Afrika yanaweza kufanywa na Afrika wenyewe!
My TAKE:
TUMELAANIWA, TUMEROGWA NA KWA HAKIKA HATUNA NAFASI YA KUFANIKIWA! - Tanzania inafanya nini kustimulate uchumi wake?
Kama ungekuwa wewe rais ungefanya nini?
Watanzania tusipotoshwe na mwanakijiji , Kikwete haombi ombi Ila anakopa on behalf of our country. And kukopa is not wrong as long as the funds are used constructively .
Huna haja ya kutuambia nini cha kufanya. Wa Tz wa leo tunajua kabla hata hatujaambiwa. Hivyo wewe kama upo peponi kumbuka tu kuwa mwishowa pepo unakaribia.
Kawaambie.
Badala ya kumhukumu mheshimiwa Raisi naomba utoe practical alternative means amabazo wewe unadai zinaweza kutumika ku raise Funds za kusukuma maendeleo ya Tanzania mbele. Ninaomba uzi publish hapa kwenye Jamii forums.
Your arguments are weak as hell....
Just right off the bat....with good governance, controlled and wise spending, crack down on ufisadi and the confiscation of what (the wealth) mafisadis have illegally gained is enough to collect the money needed for many development projects.