Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
MM,
Hili swali JK alishaulizwa pale kwenye ule mkutano wa IMF dar. Akatapatapa. Hadi leo hii hajafikiria jibu lake ni nini. Usitegemee kitu chochote kutoka kwake. Huu ni uchovu uliozidi kipimo. Usanii utamuishia 2010.
I have a different perspective now about his answer at the discussion panel. He was just being dead honest. They aren't doing anything different. So why tell a lie about it. He just told the truth and the truth is they aren't doing anything different.
Kuhusu uchovu, sidhani kama ni haki kumtupia lawama yeye kila wakati. Wachovu wakubwa ni wale waliompigia kura na kumpa ushindi wa zaidi ya asilimia 80!! Hao ndio wachovu na yeye anawaakisi hao watu (rejea maneno ya FMES). Na akichaguliwa tena ndo kabisaa....watakaompigia kura watakuwa wachovu wa mwisho katika orodha ya wachovu.