Rais Mteule Barack H. Obama!

Yap! thatz true indeed. if an afrikan gene gets into any other race most definetely the baby will come out w/ black features i.e. big head, large nose, thick lips, curly hair, volumptuous body n ass (girls) etc.

is big head and large nose distinct characteristics for Africans!? no wonder Obama has big head and nose:eek:.
 
Kuna mamilioni ya watu katika bara letu ambalo wanasubiri kwa hamu ushindi unaotarajiwa wa Obama kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huko Marekani. Kuna tafrija na sherehe zilizoandaliiwa sehemu mbalimbali ambapo watu weusi watasimama kufurahia ushindi wa Obama.

Sitoshangaa wengi wanaosubiri huo ushindi wa Obama wanafanya hivyo si kwa sababu wanakubaliana na sera zake zote (kuongeza kodi, kugawanya utajiri n.k) au misimamo yake ya kijamii (kuunga mkono utoaji mimba au haki za mashoga n.k) bali wanafanya hivyo kwa sababu Obama ni "mweusi mwenzetu".

Hili hata hivyo linanikumbusha jinsi watu walivyomshabikia Kikwete mwaka 2005 licha ya kuwa hakuwa na rekodi yeyote, hakuwa tayari kufanya midahalo na wagombea wenzake na alikuwa na maneno matamu ya "change" yaliyotumiwa kwa mbiu ya "ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya".

Wapo watu wale wale ambao leo wanamgeuka Kikwete ndio leo wanakumbatia kwa haraka maneno ya "change" na ya kuwa "Yes we can". Lakini nyuma ya ushabiki huu Watanzania na watu wa mataifa mengi ya dunia wanachoshabikia kule Marekani kwa kweli ni Rangi; kwamba hatimaye Taifa lenye watu wengi weupe likaongozwa na mtu mweusi!

hapa najikumbusha maneno ya Mwalimu "Sisi bwana hatutukuzi rangi, tunatukuza mtu bwana"!

Yawezekana ulimwengu ukakosea katika ushabiki wake wa Obama kama Watanzania asilimia 80 ya wapiga kura walivyokosea walipomshabikia Kikwete. Kweli Obama ataweza kutimiza ahadi yake ya "kuibadili Marekani, na kuibadili dunia"?

Yawezekana kiongozi ambaye watanzania na nchi za ulimwengu wa tatu zilipaswa kumshabikia ni McCain na siyo Obama kama wangeamua tu kuweka rangi pembeni? Well, masaa 24 yajayo will give us a clue.

Watanzania tulimpa muda Kikwete kwani hatukutegemea aanze kufanya miujiza ya kutimiza ahadi zake nyingi mara tu baada ya kuingia madarakani. Watanzania wengi tulimpa Kikwete miaka miwili ya kuanza kuona matunda ya ahadi zake wakati wa kampeni za kuipitia upya na kuifanyia marekebisho mikataba ya madini ambayo haikuwa na maslahi kwa nchi yetu, maisha bora kwa Mtanzania yanawezekana na kupambana na mafisadi. Sasa hivi ni more than 2 years Kikwete tangu aingie madarakani. Hatujaona matunda yoyote ya ahadi zake na Watanzania wengi tumeshakata tamaa na uongozi wake.

Hivyo ni makosa makubwa kuanza kuamkosoa Obama ambaye hatujui kama atachaguliwa kuwa Rais. Kama akichaguliwa tusitegemee aanze kufanya miujiza ya kutimiza ahadi zake za kampeni kesho. Kipindi kizuri cha kumjjaji Obama kama akichaguliwa itakuwa ni baada ya miaka miwili tangu aingie madarakani, vinginevyo itakuwa si kumtendea haki.
 
Nimeshangazwa na tabia hii ya Waafrika wengi .Sijamsikia akiitaja Afika katika kampeni zake kabisa kabisa bali America American sasa watu wanacho komaa nacho ni kitu gani ? JK ndani ya USA wacha mtaona .

Priority ya atakayechaguliwa kuwa Rais kwa sasa haitakuwa Afrika bali ni Marekani ambayo imekumbwa na hali mbaya kiuchumi kutokana na serza za Kichaka. Hivyo kwa miaka miwili au hata zaidi ijayo mpaka hapo uchumi wa US utakaposhamiri tena watajikita zaidi katika kuinua uchumi wao. Marekani sasa hivi ni mgonjwa mahututi mpaka hapo watakapoweza kutibu magonjwa yao tusahau misaada yao katika nchi mbali mbali za Kiafrika ikiwemo Tanzania. Tupende tusipende huo ndiyo ukweli wa mambo.
 
Haya matatizo ya Mwanakijiji ya kuandika kina Makamba na siasa duni za CCM kila siku matokeo yake ndio haya ya kufikiri kila mtu anampenda/kushabikia Obama kwa sababu tuu ni mweusi,wewe endelea kuandika fantasy zako ili uendelee kupata attention,lakini sisi tunajua kwanini tuna support Obama..na ulivyo kuwa mwongo na uandishi wako style ya Mzalendo na Rai unazidi kutumia points za Joe the Plumber eti obama ataongeza kodi na kugawanya utajiri...
Ngoja nikupe hint why i support Obama..possibility ya 50yrs of cuban embargo inaweza kuwa history!
 
Na mimi naongezea nyingine kwa mara ya kwanza kama Obama akishinda Marekani watakaa meza moja na 'maadui' wao kama Iran, Syria n.k. ili kutatua matatizo yao badala ya kuanza kurusha mabomu na kuuwa maelfu ya watu wakiwemo watoto wasiokuwa na hatia yoyote.
 
Hakuna sababu ya kumlinganisha Obama na Nyerere.

Obama ni mtu anaekuja kufanya usafi ambao utaondoa takataka zote zilizoletwa na chama za Republican.

Republicans wameleta matatizo makubwa duniani likiwemo tatizo la muanguko wa uchumi ambapo mpaka sasa hakuna usawa kwenye thamani ya dola na fwedha za nch zingine hasa zile zinazotegemea dolali.

Pili taswira ya marekani nje imeharibika vibaya kutokana na sera mbovu zilizokosa mwelekeo za chama cha Republican.

Kwa hio kwa kifupi ni kwamba serikali ingine ya kibepari lakini yenye mtu "responsible" ambae ni Barak Obama ndio inaonekana inafaa. Yaani serikali yenye mlengo wa kulia ya chama cha Democrats inaibadilisha serikali inayoondoka ambayo nayo ilikuwa na mlengo wa kulia na ya kibepari.

Kwa mfano huduma ya bima kwa watoto itafadhiliwa na fwedha itakayotokana na ongezeko la kodi kwa wenye viwanda vya kutengeneza sigara.

Kwa hiyo mambo yote ni mabadiliko katika kila uozo ambao umefanywa na ni wakati wa "change and repair".
 
Kuna mamilioni ya watu katika bara letu ambalo wanasubiri kwa hamu ushindi unaotarajiwa wa Obama kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huko Marekani. Kuna tafrija na sherehe zilizoandaliiwa sehemu mbalimbali ambapo watu weusi watasimama kufurahia ushindi wa Obama.

Sitoshangaa wengi wanaosubiri huo ushindi wa Obama wanafanya hivyo si kwa sababu wanakubaliana na sera zake zote (kuongeza kodi, kugawanya utajiri n.k) au misimamo yake ya kijamii (kuunga mkono utoaji mimba au haki za mashoga n.k) bali wanafanya hivyo kwa sababu Obama ni "mweusi mwenzetu".

Hili hata hivyo linanikumbusha jinsi watu walivyomshabikia Kikwete mwaka 2005 licha ya kuwa hakuwa na rekodi yeyote, hakuwa tayari kufanya midahalo na wagombea wenzake na alikuwa na maneno matamu ya "change" yaliyotumiwa kwa mbiu ya "ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya".

Wapo watu wale wale ambao leo wanamgeuka Kikwete ndio leo wanakumbatia kwa haraka maneno ya "change" na ya kuwa "Yes we can". Lakini nyuma ya ushabiki huu Watanzania na watu wa mataifa mengi ya dunia wanachoshabikia kule Marekani kwa kweli ni Rangi; kwamba hatimaye Taifa lenye watu wengi weupe likaongozwa na mtu mweusi!

hapa najikumbusha maneno ya Mwalimu "Sisi bwana hatutukuzi rangi, tunatukuza mtu bwana"!

Yawezekana ulimwengu ukakosea katika ushabiki wake wa Obama kama Watanzania asilimia 80 ya wapiga kura walivyokosea walipomshabikia Kikwete. Kweli Obama ataweza kutimiza ahadi yake ya "kuibadili Marekani, na kuibadili dunia"?

Yawezekana kiongozi ambaye watanzania na nchi za ulimwengu wa tatu zilipaswa kumshabikia ni McCain na siyo Obama kama wangeamua tu kuweka rangi pembeni? Well, masaa 24 yajayo will give us a clue.

Mzee Mwanakijiji,

Kwanza Obama si Kikwete!

Obama hajatuhumiwa na hajatumia fedha chafu kugombea uraisi wa Marekani kama Kikwete na CCM walivyofanya.

Furaha ya watu Weusi, mimi nikiwa mmoja wapo ni kule kuushinda Unyonge uliojengwa ndani yetu, ule wa Nyani wa Ngabu kusema ndivyo tulivyo, unyonge wa kuonekana kuwa hatuna thamani wala uwezo wowote.

Ushindi wa Obama si kwa watu Weusi na Waafrika tuu, bali ni kwa kila mtu ambaye siku zote amelelewa na kukuwa katika mazingira yanayomwambia kuwa yeye ni batili, nusu na hana thamani.

Ushindi wa Obama ni sawa na kuvunja minyororo ya utumwa na ukoloni. Pamoja na kuwa ni kweli kuwa si yeye pekee ambaye ataongoza nchi ya Marekani, lakini kitendo cha yeye kuwashinda wale ambao siku zote wamekuwa wakidharau na kukandamiza binadamu wa rangi, dini, jinsia na aina nyingine kwa kujifanya wao ndio wateule, ni dalili tosha kuwa nyakati zinabadilika na kila tunaloambiwa haliwezekani, linawezekana.

Ushindi wa Obama naupokea kama siku Chadema, CUF, TLP au chama kingine kinaposhinda Ubunge nchini Tanzania au siku mojawapo ya Vyama hivi au kwa umoja vitaing'oa CCM kutoka madaraka ya kututawala Watanzania.

Najua una mtazamo wako wa kulia ambao ni tofauti na ule wa Obama kisera na hata labda kiimani, lakini ukweli unabakia kuwa tulishaambiwa haitawezekana, hamuwezi, sasa milango imefunguka, tumeona na kushuhudia kuwa inawezekana, tunaweza na zaidi tuna haki sawa.

Huu ni mwanzo wa mwisho wa Unyonge. Hata kama hataweza tatua matatizo yote au kuleta Maisha bora kwa kila Binadamu au Mwananchi na mkazi wa Marekani, kuweza kupata ushindi na kuwa mshindi ni tuzo ya pekee na ni tumaini na faraja ya ajabu kwa kila ambaye amedhalilishwa na kufanywa mnyonge.
 
Obama is the 44th President of the USA.JUST CONFIRMED AFTER JUST WINNING CALIFORNIA
 
Obama is the 44th President of the USA.JUST CONFIRMED AFTER JUST WINNING CALIFORNIA

I hope we have learnt a lot from this. I congratulate President-elect Barrack Obama. He has shown the whole world that anything is possible for one who believes. Alichuma juani na sasa ana haki ya kulia kuvulini.
 
I have nothing to add on this OBAMA is the US President Elect. He has got 333 vote against 270 he had to reach to be declared a winner. he has got 44011530 votes equal to 51% against John MacCain who got 42250453 equal to 48%
John MacCain has congratulated Obama for his tremendous victory.

Many Americans said they felt they were voting in a historic election, not least because of the possibility of choosing the first African-American president.
 
(CNN) -- Sen. John McCain on Tuesday urged all Americans to join him in congratulating Sen. Barack Obama on his projected victory in the presidential election.
Sen. John McCain congratulates Sen. Barack Obama on his projected victory.

"I pledge to him tonight to do all in my power to help him lead us through the many challenges we face," McCain said before his supporters in Phoenix, Arizona.

"Today, I was a candidate for the highest office in the country I love so much, and tonight, I remain her servant," he said.McCain's running mate, Gov. Sarah Palin, was standing with him, but she did not speak.

McCain called Obama to congratulate him, Obama's campaign said.

Obama thanked McCain for his graciousness and said he had waged a tough race.

President Bush also called Obama to congratulate him.Bush told Obama he was about to begin one of the great journeys of his life, and invited him to visit the White House as soon as it could be arranged, according to White House spokeswoman Dana Perino.

With his projected win, Obama will become the nation's 44th president and its first African-American leader.
Obama will address the country from a rally in Chicago, Illinois, at midnight.

Supporters in Chicago cheering, "Yes, we can" were met with cries of "Yes, we did."

More than 1,000 people gathered outside of the White House, chanting, "Obama, Obama!"
 
That's the CHANGE most of us have been waiting for. I am sure it is wake up call for JK and his commedy team.

Since the dream of most American people has just become true, I have no doubts in my mind that even mine will soon become true. That's when this country (TZ) will belong to its owners and not to a team of crooks under CCM; when there shall be no prejudices based on colour, wealth, ethnicity or history (CCM or non-partisan); my children and I shall be judged besed on the substance of their ideas/views; and anybody with articulate vision of liberating us from our core enemies will have a chance of occupying the biggest office in the country.
 
(BBC) Democratic Senator Barack Obama has been elected the first black president of the United States.
"It's been a long time coming, but tonight... change has come to America," the president-elect told a jubilant crowd at a park in Chicago.

His rival John McCain accepted defeat, saying "I deeply admire and commend" Mr Obama. He called on his supporters to lend the next president their goodwill.

The BBC's Justin Webb said the result would have a profound impact on the US.

"On every level America will be changed by this result... [it] will never be the same," he said.
 
...ilikuwa haina hata haja ya kumjibu!! Obama ni baaaaaab'kubwa kuliko Nyerere mara million!!!

Hapo haupo kabsaa,,,, hajamfikia Nyerere kwa sasa. Ni mapema kumvalue. Let us value after sometimes. Now its too early. Nyerere he still strong leader to what I believe
 
Obama:"While we breathe, we hope. Where we are met with cynicism and doubt and those who tell us we can't, we will reply: Yes we can." 4,5/11/2008

rais mteule wa marekani

waberoya
 
Mzee Mwanakijiji,

Kwanza Obama si Kikwete!

Obama hajatuhumiwa na hajatumia fedha chafu kugombea uraisi wa Marekani kama Kikwete na CCM walivyofanya.

Furaha ya watu Weusi, mimi nikiwa mmoja wapo ni kule kuushinda Unyonge uliojengwa ndani yetu, ule wa Nyani wa Ngabu kusema ndivyo tulivyo, unyonge wa kuonekana kuwa hatuna thamani wala uwezo wowote.

Ushindi wa Obama si kwa watu Weusi na Waafrika tuu, bali ni kwa kila mtu ambaye siku zote amelelewa na kukuwa katika mazingira yanayomwambia kuwa yeye ni batili, nusu na hana thamani.

Ushindi wa Obama ni sawa na kuvunja minyororo ya utumwa na ukoloni. Pamoja na kuwa ni kweli kuwa si yeye pekee ambaye ataongoza nchi ya Marekani, lakini kitendo cha yeye kuwashinda wale ambao siku zote wamekuwa wakidharau na kukandamiza binadamu wa rangi, dini, jinsia na aina nyingine kwa kujifanya wao ndio wateule, ni dalili tosha kuwa nyakati zinabadilika na kila tunaloambiwa haliwezekani, linawezekana.

Ushindi wa Obama naupokea kama siku Chadema, CUF, TLP au chama kingine kinaposhinda Ubunge nchini Tanzania au siku mojawapo ya Vyama hivi au kwa umoja vitaing'oa CCM kutoka madaraka ya kututawala Watanzania.

Najua una mtazamo wako wa kulia ambao ni tofauti na ule wa Obama kisera na hata labda kiimani, lakini ukweli unabakia kuwa tulishaambiwa haitawezekana, hamuwezi, sasa milango imefunguka, tumeona na kushuhudia kuwa inawezekana, tunaweza na zaidi tuna haki sawa.

Huu ni mwanzo wa mwisho wa Unyonge. Hata kama hataweza tatua matatizo yote au kuleta Maisha bora kwa kila Binadamu au Mwananchi na mkazi wa Marekani, kuweza kupata ushindi na kuwa mshindi ni tuzo ya pekee na ni tumaini na faraja ya ajabu kwa kila ambaye amedhalilishwa na kufanywa mnyonge.

Mkuu,
You have said it ALL and WELL! zaidi ya rangi yake Obama ameonyesha uwezo Mkubwa wa kuwa kiongozi!!!!!!!!! viva Obama VIVA africans!!!!tunashukuru kwa kutoa inferiority ya kuwa Watu weusi hatu wezi!!! Next time Mungu akipenda HATA PAPA ATAKUWA MTU MWEUSI!!!!
 
Nyani Ngabu simsikii akishangilia 'ushindi' wa rafiki yake McCain, kulikoni?
 
Back
Top Bottom