Rais Mstaafu Kikwete kuhudhuria Sherehe za Kuadhimisha Miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,146
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates leo Februari 24, 2023 wataungana na Rais Mstaafu wa Marekani George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC.

Sherehe hiyo, iliyoandaliwa na Taasisi ya George W. Bush itafanyika katika Taasisi ya Amani ya Marekani. Watatu hao watashiriki katika mjadala maalumu utaoendeshwa na Dkt. Rice kuhusu kuanzishwa kwa PEPFAR, mafanikio yake makubwa, na jinsi programu hiyo inavyofanikiwa katika nchi washirika na kwa sera ya kigeni za Marekani.

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, anatarajiwa kuhutubia kwa naiba ya Serikali katika kuadhimisha kumbukumbu ya PEPFAR.

Kwa Mujibu wa taarifa kutoka Taasisi ya George W. Bush, katika maadhimisho hayo, mke wa Rais huyo Mstaafu wa Marekani George W. Bush, Bi. Laura Bush, atatoa maelezo mafupi na kuwatambulisha Tatu Msangi na Faith Mang'ehe, Mabalozi wa Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation kutoka Tanzania waliohudhuria wakati wa kutolewa hotuba ya Hali ya Muungano (State of the Union) katika Congress ya Marekani, ambapo mpango huo wa PFEPFAR ulitangazwa rasmi mwaka 2008.

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Bill Gates, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates, ataungana na Bw. David J. Kramer, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bush, kujadili jinsi modeli ya mafanikio ya programu ya PEPFAR imeweza kuitambulishadunia ushiriki wa Marekani katika afya na maendeleo ya kimataifa kwa upana zaidi.

"PEPFAR bila shaka ni mpango wa msaada wenye mafanikio zaidi wa Marekani kuwahi kutokea, ambao umeokoa maisha zaidi ya milioni 25 hadi sasa," alisema David J. Kramer, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bush.

"PEPFAR pia imeimarisha mifumo ya afya, imeimarisha demokrasia, imesaidia ukuaji wa uchumi, na maendeleo ya juu ya haki za binadamu. Congress na watu wa Marekani wanapaswa kuendelea kuunga mkono PEPFAR hadi UKIMWI usiwe tishio tena.”

Washiriki wengine katika sherehe hizo ni pamoja. Ken Hersh, Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Kituo cha Rais cha George W. Bush; Wendy Sherman, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani; Balozi Dk. John Nkengasong, Mratibu wa Ukimwi Ulimwenguni wa Marekani na Mwakilishi Maalum wa Diplomasia ya Afya Duniani; Mheshimiwa Seneta Lizzie Nkosi, Waziri wa Afya wa Eswatini; Winnie Byanyima, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS; Peter Sands, Mkurugenzi Mtendaji wa The Global Fund; na Dk. Wafaa El Sadr, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa ICAP katika Chuo Kikuu cha Columbia.

Ingawa tukio ni mwaliko pekee, litatiririshwa moja kwa moja kwenye bushcenter.org/pepfarat20.

d5ba6939-9ea6-4583-99eb-b4a67da41c32.jpg

147103f7-0e29-4007-8691-e77c2a59e3c0.jpg

8664aee0-a103-4af6-ae3e-b3c9f089f2f9.jpg

987ab1ee-dbaa-4dad-847f-121dcbdb2e92.jpg

6c1a3e13-c28c-4762-ac86-4c40fc3920bc.jpg
 
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates leo Februari 24, 2023 wataungana na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC.

Sherehe hiyo, iliyoandaliwa na Taasisi ya George W. Bush itafanyika katika Taasisi ya Amani ya Marekani. Watatu hao watashiriki katika mjadala maalumu utaoendeshwa na Dkt. Rice kuhusu kuanzishwa kwa PEPFAR, mafanikio yake makubwa, na jinsi programu hiyo inavyofanikiwa katika nchi washirika na kwa sera ya kigeni za Marekani.

Mhe. Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, anatarajiwa kuhutubia kwa naiba ya Serikali katika kuadhimisha kumbukumbu ya PEPFAR.

Kwa Mujibu wa taarifa kutoka Taasisi ya George W. Bush, katika maadhimisho hayo, Mke wa Rais huyo Mstaafu wa Marekani George W. Bush, Bi. Laura Bush, atatoa maelezo mafupi na kuwatambulisha Tatu Msangi na Faith Mang'ehe, Mabalozi wa Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation kutoka Tanzania waliohudhuria wakati wa kutolewa hotuba ya Hali ya Muungano (State of the Union) katika Congress ya Marekani, ambapo mpango huo wa PFEPFAR ulitangazwa rasmi mwaka 2008.

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Bill Gates, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates, ataungana na Bw. David J. Kramer, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bush, kujadili jinsi modeli ya mafanikio ya programu ya PEPFAR imeweza kuitambulishadunia ushiriki wa Marekani katika afya na maendeleo ya kimataifa kwa upana zaidi.

"PEPFAR bila shaka ni mpango wa msaada wenye mafanikio zaidi wa Marekani kuwahi kutokea, ambao umeokoa maisha zaidi ya milioni 25 hadi sasa," alisema David J. Kramer, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bush.

"PEPFAR pia imeimarisha mifumo ya afya, imeimarisha demokrasia, imesaidia ukuaji wa uchumi, na maendeleo ya juu ya haki za binadamu. Congress na watu wa Marekani wanapaswa kuendelea kuunga mkono PEPFAR hadi UKIMWI usiwe tishio tena.”

Washiriki wengine katika sherehe hizo ni pamoja. Ken Hersh, Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Kituo cha Rais cha George W. Bush; Wendy Sherman, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani; Balozi Dk. John Nkengasong, Mratibu wa Ukimwi Ulimwenguni wa Marekani na Mwakilishi Maalum wa Diplomasia ya Afya Duniani; Mheshimiwa Seneta Lizzie Nkosi, Waziri wa Afya wa Eswatini; Winnie Byanyima, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS; Peter Sands, Mkurugenzi Mtendaji wa The Global Fund; na Dk. Wafaa El Sadr, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa ICAP katika Chuo Kikuu cha Columbia.

Ingawa tukio ni mwaliko pekee, litatiririshwa moja kwa moja kwenye bushcenter.org/pepfarat20.

View attachment 2528932

View attachment 2528933
View attachment 2528934
View attachment 2528935

View attachment 2528936
Watu wa pwani wanapenda sherehe sana anaweza akauza nyumba ili afanye sherehe, hope Kikwete atamtafuta Rihanna wapige picha tena

USSR
 
Pole Mkuu!

unajiskia vipi mtu ulieaminishwa kuwa Kilaza, ombwe la uongozi, dhaifu. n.k anakuwa kwny hadhara hizi za kimataifa miaka kadhaa baada ya kustaafu halafu wale uliokuwa unawaona akili kubwaaaz wapo kijijini wanakagua kuku na bata waliotaga mayai wiki hii
 
Hapo baba yuko anakagua nini huko kijijini

USSR
 
Pole Mkuu!

unajiskia vipi mtu ulieaminishwa kuwa Kilaza, ombwe la uongozi, dhaifu. n.k anakuwa kwny hadhara hizi za kimataifa miaka kadhaa baada ya kustaafu halafu wale uliokuwa unawaona akili kubwaaaz wapo kijijini wanakagua kuku na bata waliotaga mayai wiki hii
Inategemea namna ulivyowatumikia hao mabwana ulipokuwa na fursa. Maana hata barrick inasemekana ni kampuni ya kina bush na ni kipindi cha JK ndipo walichukua migodi yote mikubwa ya northmara, tulawaka, buzwagi na bulyanhulu.
 
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates leo Februari 24, 2023 wataungana na Rais Mstaafu wa Marekani George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC.

Sherehe hiyo, iliyoandaliwa na Taasisi ya George W. Bush itafanyika katika Taasisi ya Amani ya Marekani. Watatu hao watashiriki katika mjadala maalumu utaoendeshwa na Dkt. Rice kuhusu kuanzishwa kwa PEPFAR, mafanikio yake makubwa, na jinsi programu hiyo inavyofanikiwa katika nchi washirika na kwa sera ya kigeni za Marekani.

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, anatarajiwa kuhutubia kwa naiba ya Serikali katika kuadhimisha kumbukumbu ya PEPFAR.

Kwa Mujibu wa taarifa kutoka Taasisi ya George W. Bush, katika maadhimisho hayo, mke wa Rais huyo Mstaafu wa Marekani George W. Bush, Bi. Laura Bush, atatoa maelezo mafupi na kuwatambulisha Tatu Msangi na Faith Mang'ehe, Mabalozi wa Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation kutoka Tanzania waliohudhuria wakati wa kutolewa hotuba ya Hali ya Muungano (State of the Union) katika Congress ya Marekani, ambapo mpango huo wa PFEPFAR ulitangazwa rasmi mwaka 2008.

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Bill Gates, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates, ataungana na Bw. David J. Kramer, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bush, kujadili jinsi modeli ya mafanikio ya programu ya PEPFAR imeweza kuitambulishadunia ushiriki wa Marekani katika afya na maendeleo ya kimataifa kwa upana zaidi.

"PEPFAR bila shaka ni mpango wa msaada wenye mafanikio zaidi wa Marekani kuwahi kutokea, ambao umeokoa maisha zaidi ya milioni 25 hadi sasa," alisema David J. Kramer, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bush.

"PEPFAR pia imeimarisha mifumo ya afya, imeimarisha demokrasia, imesaidia ukuaji wa uchumi, na maendeleo ya juu ya haki za binadamu. Congress na watu wa Marekani wanapaswa kuendelea kuunga mkono PEPFAR hadi UKIMWI usiwe tishio tena.”

Washiriki wengine katika sherehe hizo ni pamoja. Ken Hersh, Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Kituo cha Rais cha George W. Bush; Wendy Sherman, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani; Balozi Dk. John Nkengasong, Mratibu wa Ukimwi Ulimwenguni wa Marekani na Mwakilishi Maalum wa Diplomasia ya Afya Duniani; Mheshimiwa Seneta Lizzie Nkosi, Waziri wa Afya wa Eswatini; Winnie Byanyima, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS; Peter Sands, Mkurugenzi Mtendaji wa The Global Fund; na Dk. Wafaa El Sadr, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa ICAP katika Chuo Kikuu cha Columbia.

Ingawa tukio ni mwaliko pekee, litatiririshwa moja kwa moja kwenye bushcenter.org/pepfarat20.

View attachment 2528932

View attachment 2528933
View attachment 2528934
View attachment 2528935

View attachment 2528936
Yani huyo kibwengo ni masherehe tu na mapart part basi ....ukweli usemwe hapa tz yapo makabira siyo ya kuwapa uongozi wa kitu chochote
 
20th anniversary of PEPFAR programme : Jakaya Kikwete​

This year, the U.S. President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) marks its 20th anniversary of delivering unprecedented impact in the global fight against HIV/AIDS.
On Jan. 28, 2003, President George W. Bush announced the establishment of PEPFAR during his State of the Union Address, leveraging years of HIV/AIDS research, coordinated humanitarian effort, bipartisan support from Congress, and engagement from community and faith-based organizations, and the private sector to create an unprecedented response to a global health crisis.
Two decades later, PEPFAR supports nearly 65 million people with HIV treatment and testing services, providing more than 20 million men, women, and children with life-saving antiretroviral treatment (ART).
To build on the program’s enduring legacy, PEPFAR is reinvigorating the U.S. global response to end the HIV/AIDS pandemic by 2030, creating a healthier, safer, and more secure world for all. As part of a new five-year strategy, Fulfilling America’s Promise to End the HIV/AIDS Pandemic by 2030, PEPFAR is advocating for and working with partners to close health equity gaps in children, adolescent girls and young women, and key populations, while achieving sustained HIV impact worldwide to combat HIV/AIDS as a security threat amid other emerging health challenges.
After 20 years of remarkable impact, PEPFAR’s work is not yet finished. Through avid collaboration and transformative partnerships, PEPFAR is deeply committed to ending the inequities and service gaps that still stand in the way of progress so that it may advance even closer to ending the HIV/AIDS pandemic.

This programme needs to be funded, and for the sceptics, all I ask is to look at the results.' These are the words of former US President, George W. Bush, speaking at an event in Washington to mark the 20th anniversary of PEPFAR - The President's Emergency Plan for Aids Relief. It came into being under his Presidency. The event heard that the programme had saved some 25-million lives with over 1-hundred billion dollars in cumulative funding for HIV and AIDS treatment in over 50 countries
 
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates leo Februari 24, 2023 wataungana na Rais Mstaafu wa Marekani George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC.

Sherehe hiyo, iliyoandaliwa na Taasisi ya George W. Bush itafanyika katika Taasisi ya Amani ya Marekani. Watatu hao watashiriki katika mjadala maalumu utaoendeshwa na Dkt. Rice kuhusu kuanzishwa kwa PEPFAR, mafanikio yake makubwa, na jinsi programu hiyo inavyofanikiwa katika nchi washirika na kwa sera ya kigeni za Marekani.

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, anatarajiwa kuhutubia kwa naiba ya Serikali katika kuadhimisha kumbukumbu ya PEPFAR.

Kwa Mujibu wa taarifa kutoka Taasisi ya George W. Bush, katika maadhimisho hayo, mke wa Rais huyo Mstaafu wa Marekani George W. Bush, Bi. Laura Bush, atatoa maelezo mafupi na kuwatambulisha Tatu Msangi na Faith Mang'ehe, Mabalozi wa Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation kutoka Tanzania waliohudhuria wakati wa kutolewa hotuba ya Hali ya Muungano (State of the Union) katika Congress ya Marekani, ambapo mpango huo wa PFEPFAR ulitangazwa rasmi mwaka 2008.

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Bill Gates, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates, ataungana na Bw. David J. Kramer, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bush, kujadili jinsi modeli ya mafanikio ya programu ya PEPFAR imeweza kuitambulishadunia ushiriki wa Marekani katika afya na maendeleo ya kimataifa kwa upana zaidi.

"PEPFAR bila shaka ni mpango wa msaada wenye mafanikio zaidi wa Marekani kuwahi kutokea, ambao umeokoa maisha zaidi ya milioni 25 hadi sasa," alisema David J. Kramer, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bush.

"PEPFAR pia imeimarisha mifumo ya afya, imeimarisha demokrasia, imesaidia ukuaji wa uchumi, na maendeleo ya juu ya haki za binadamu. Congress na watu wa Marekani wanapaswa kuendelea kuunga mkono PEPFAR hadi UKIMWI usiwe tishio tena.”

Washiriki wengine katika sherehe hizo ni pamoja. Ken Hersh, Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Kituo cha Rais cha George W. Bush; Wendy Sherman, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani; Balozi Dk. John Nkengasong, Mratibu wa Ukimwi Ulimwenguni wa Marekani na Mwakilishi Maalum wa Diplomasia ya Afya Duniani; Mheshimiwa Seneta Lizzie Nkosi, Waziri wa Afya wa Eswatini; Winnie Byanyima, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS; Peter Sands, Mkurugenzi Mtendaji wa The Global Fund; na Dk. Wafaa El Sadr, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa ICAP katika Chuo Kikuu cha Columbia.

Ingawa tukio ni mwaliko pekee, litatiririshwa moja kwa moja kwenye bushcenter.org/pepfarat20.

View attachment 2528932

View attachment 2528933
View attachment 2528934
View attachment 2528935

View attachment 2528936
Hili ni pigo lingine kwa walinda legacy!!!
 
Inategemea namna ulivyowatumikia hao mabwana ulipokuwa na fursa. Maana hata barrick inasemekana ni kampuni ya kina bush na ni kipindi cha JK ndipo walichukua migodi yote mikubwa ya northmara, tulawaka, buzwagi na bulyanhulu.
Punguza makasiriko
 
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates leo Februari 24, 2023 wataungana na Rais Mstaafu wa Marekani George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC.
Tunavyopenda cherekochereko
 
Inategemea namna ulivyowatumikia hao mabwana ulipokuwa na fursa. Maana hata barrick inasemekana ni kampuni ya kina bush na ni kipindi cha JK ndipo walichukua migodi yote mikubwa ya northmara, tulawaka, buzwagi na bulyanhulu.
Acha uwongo. Mgodi wa Bulyanhulu, Geita na North Mara ilianzishwa wakati wa Mkapa.

Buzwagi ulianza wakati wa Kikwete. Barrick walikuja Tanzania kwa kuwabembeleza sana, walikuwa hawataki, wakieleza wazi hawana sera ya kuwekeza Afrika. Andrew Young, rafiki mkubwa wa Mwalimu Nyerere ndiye aliyetumika sana kuhakikisha Barrick wanakubali ombi la Tanzania.

Nilishiriki kwenye sherehe za ufunguzi wa mgodi wa Bulyanhulu. Sherehe ambayo mgeni rasmi alikuwa Hayati Rais Mkapa. Pia alikuwepo Andrew Young.
 
Watu wa pwani wanapenda sherehe sana anaweza akauza nyumba ili afanye sherehe, hope Kikwete atamtafuta Rihanna wapige picha tena

USSR
Naona unajaribu, bila mafanikio, kuiepuka sehemu muhimu kuhusu kikwete...............kuna kitu amepewa na haters mnajaribu kila mbinu kukififisha lakini wapiiiiiii!!
 
Acha uwongo. Mgodi wa Bulyanhulu, Geita na North Mara ilianzishwa wakati wa Mkapa.

Buzwagi ulianza wakati wa Kikwete. Barrick walikuja Tanzania kwa kuwabembeleza sana, walikuwa hawataki, wakieleza wazi hawana sera ya kuwekeza Afrika. Andrew Young, rafiki mkubwa wa Mwalimu Nyerere ndiye aliyetumika sana kuhakikisha Barrick wanakubali ombi la Tanzania.

Nilishiriki kwenye sherehe za ufunguzi wa mgodi wa Bulyanhulu. Sherehe ambayo mgeni rasmi alikuwa Hayati Rais Mkapa. Pia alikuwepo Andrew Young.
Umemuumbua kweli kweli! Ukweli ni kuwa kuna habari za uongo tunalishwa humu hatari tupu na kofia inayotumika ni dini au ukanda wa mtu. Kikwete angekuwa mtu legelege saa hizi angekuwa ameshajifia kwa kihoro.........anazushiwa mnooooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom