Elections 2010 Rais Mpya kuapishwa Ijumaa

Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.

TATIZO LAKO NI:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::ban:

Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.

:nono::nono::nono: Acha uzushi wewe!!! Kura bado zinahesabiwa huo ushindi wa JK umeupata kwa yule mwenye mashetani Sheikh Yahya?

ww PASCO usituletee UMANYAKI HUMU hii ni Forum ya watu wenye akili timamu. Km ww ni MANIAC wa CCM tafuta mtandao wao uwashabikie .

Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.

Si kawaida yenu kupika matokeo! hatutashangaa, sasa wewe kura ZINAENDELEA KUHESABIWA NYIE MNASEMA MSHASHINDA! wizi mtupu!

Kura bado zinahesabiwa HACHA UZUSHIII

Jee umeishawahi kukisikia kitengo cha Inteligensia cha CCM?. That means no matter what the votters have votted for, the final results is pre-meditated to over 80% na ndio matokeo ya mwisho yatakayotangazwa na NEC!.

Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.
Tumeshapiga kura na tunajua tulicchofanya posco acha us**fu**C

<imgsrc="/images/styles/JamiiForums/smilies/nono.gif" border="0" alt="" title="Nono" smilieid="233" class="inlineimg" /> Acha uzushi wewe!!! Kura bado zinahesabiwa huo ushindi wa JK umeupata kwa yule mwenye mashetani Sheikh Yahya?

Mjumbe hauwawi, hii ni inteligensia tip!.

pasco pasco pasco pasco mdebwedo hakuna taarifa kama hiyo labda zenji ndiyo ccm watamwapisha shein si huku bara ngoma nzito

Si kawaida yenu kupika matokeo! hatutashangaa, sasa wewe kura ZINAENDELEA KUHESABIWA NYIE MNASEMA MSHASHINDA! wizi mtupu!

Deodat, naomba usiniingize humo, kusema nilichoambiwa ndio nimeshakuwa mmoja wao?. Nasisitiza mjumbe hauwawi, endeleeni kuhesabu kura, final results imeshaamuliwa kuwa ni over and above 80%!. Pia nimeweka angalizo, msiniingize kwenye kundi la kina MS.

PASCO acha kutuchakachua PASCO sie sio MANIAC kuamini uongo wako. Hapa town sie tunasubiri hatma ya CCM leo. CHADEMA iko juu sana na utaona miujiza mwaka huu. Sie tuna source maalum ww kaa na hizo za mwaka 2005.

Deodat, naomba usiniingize humo, kusema nilichoambiwa ndio nimeshakuwa mmoja wao?. Nasisitiza mjumbe hauwawi, endeleeni kuhesabu kura, final results imeshaamuliwa kuwa ni over and above 80%!. Pia nimeweka angalizo, msiniingize kwenye kundi la kina MS.

Mkuu achana na hii kitu itakushushia heshima! Nimeongea kikubwa nakuheshimu

Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.

Pasco,
Umenikumbusha yule jamaa akiitwa Aziz kwenye serikali ya Saddam.

wanabodi,
sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye kitengo cha inteligensia cha ccm, amesema ccm imeshashinda kwa over and obove 80%. Jk ataapishwa ijumaa saa 4 asubuhi uwanja wa taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na ms!.
Habari ndio hiyo!.

jipe moyo pasco.......ccm it is over no way out ...dr slaa is leading by 49% jk 14% profesa 8% mpaka sasa kura zinaendelea kuhesabiwa

Habari hiyo siyo ya kweli, habari za ndani zinasema Dr Slaa amemkalia kooni Jk kiasi kwamba usiku huu kimeitishwa kikao cha dharula cha kamati kuu kutathmini hali.

Mkuu achana na hii kitu itakushushia heshima! Nimeongea kikubwa nakuheshimu

Rev Masa, asante kwa angalizo, jee kosa langu ni kusema nilichoambiwa?. Can't you guys read me in between the lines!, kwa lugha nyingine, matokeo yameshapangwa, mialiko ya sherehe ya kuapishwa imeshaandaliwa!, wanasubiri tuu kutangazwa!. Source wangu ni mtu wa ndani ya CCM, unless wanajifariji tuu!.

Pasco inteligentsia ya CCM haiwezi kushindana na Intelligentsia ya Taifa. Kucha kali za CCM zilikatawa makali yake pale Mtanzania wa kwanza alipopiga kura ya kuikataa.. na hili haliwezi kubadilishwa. Na JK hawezi kushinda kwa asilimia 80 not even 70! Na hapo tunazungumzia kama atashinda kwa kulazimisha.

Back
Top Bottom