mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,066
- 6,738
Hivi kuna mtu aliyehonga kama Lowasa katika siasa za nchi hii. Lowasa alihonga kuanzia bodaboda hadi kwenye madhabahu, ila leo hii anaitwa malaika na nyum.mbuzzz. Kama viongozi wa chama pia wanaweza kuhongwa na kukubali basi CDM hakuna kitu huko. Mke wako akitongozwa na akakubali kukukimbia jua tu hauna mke, achane kulia lia hapa kutafuta huruma.