Rais Magufuli, Siasa za shombo la Guru hazilipi

Hivi kuna mtu aliyehonga kama Lowasa katika siasa za nchi hii. Lowasa alihonga kuanzia bodaboda hadi kwenye madhabahu, ila leo hii anaitwa malaika na nyum.mbuzzz. Kama viongozi wa chama pia wanaweza kuhongwa na kukubali basi CDM hakuna kitu huko. Mke wako akitongozwa na akakubali kukukimbia jua tu hauna mke, achane kulia lia hapa kutafuta huruma.
 
Naunga mkono hoja, inaonekana hii story na mission iko tu kwenye kichwa cha Magu ila MaCCM wenzie hawana akili hiyo bali wanawaza kutawala tu....Viwanda viwanda ni wazo la kufikirika..

Baadhi tumeshamtahadharisha kuwa kujaribu kuifufua CCM na kuikubalisha tena kwa watanzania ni jambo lisilowezekana.Baadhi yetu hatuipendi CCM isipokuwa utendaji wake Magufuli mwenyewe.CCM ya akina Gambo,Hapi,Ndugai na sampuli za "ukoo" huo hapana.Yeye madhali amebahatika kufika hapo afanye tu tunayoyataka watanzania.Akitaka kuubaini ukweli afanye utafiti kidogo.Watu wengi wanachukizwa na siasa za kijinga za kukomoa wakosoaji.Siasa za kushindwa kuweka kipaumbele katika mambo ya msingi badala yake kuweka nguvu katika masuala ya "rejareja" tu.
 
Hivi kuna mtu aliyehonga kama Lowasa katika siasa za nchi hii. Lowasa alihonga kuanzia bodaboda hadi kwenye madhabahu, ila leo hii anaitwa malaika na nyum.mbuzzz. Kama viongozi wa chama pia wanaweza kuhongwa na kukubali basi CDM hakuna kitu huko. Mke wako akitongozwa na akakubali kukukimbia jua tu hauna mke, achane kulia lia hapa kutafuta huruma.

Kwani wewe umezaliwa lini? Hujui kuwa baadhi yetu "tulimchana" huyo Lowasa wazi wazi juu ya siasa za namna hiyo? Ni mtu mjinga tu ambaye anafikiri kwa kutumia miguu ndiye anayeweza kuwekeza kwenye biashara ya "kuhongahonga" watu.Ingekuwa kwenye tasnia ya mahusiano ya kimapenzi basi hao ni madomo zege.Hivi huwezi tu kuwashawishi watu kwa masuala ya msingi hadi utumie pesa?
 
Waache wavifanye mwisho wa ubaya ni aibu!!!!!!

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Ati, aliikuta nchi IPO hovyo kwani yeye hakuwepo Tz!

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Labda katokea Mars,over 20 years huko serikalini leo unasema 'nimeikuta nchi iko hovyo' as if alikuwa waziri sayari ya Mars!
Unafiki tu.
 
Kwani wewe umezaliwa lini? Hujui kuwa baadhi yetu "tulimchana" huyo Lowasa wazi wazi juu ya siasa za namna hiyo? Ni mtu mjinga tu ambaye anafikiri kwa kutumia miguu ndiye anayeweza kuwekeza kwenye biashara ya "kuhongahonga" watu.Ingekuwa kwenye tasnia ya mahusiano ya kimapenzi basi hao ni madomo zege.Hivi huwezi tu kuwashawishi watu kwa masuala ya msingi hadi utumie pesa?
CDM hawana moral authority ya kulia lia na kulalamika wakati wanalala na Lowasa chumba kimoja. Lowasa ndio alikuwa na pesa chafu ya kuhonga honga hovyo, Magu si mpuuzi wa kuhonga honga ovyo kama Lowasa.

Mwisho na cha muhimu, kama viongozi wengi namna hii wanaweza kuhongwa mjue hamna chama bali wachumia tumbo tu, hadi 2020 inaisha Lowasa atakua ameishaidhoofisha sana CDM.
 
mwambieni kuwa vituo vya mafuta karibia nchi Zima vimefungwa na tra. walisema serikali ndiyo pekee itasambaza efd machines, haijafanya hivyo ila tra wanafungia vituo vya mafuta. soon tutashindwa kupeleka wagonjwa mahospitalini na kwenda kazini (iwe shambani au ofisini)
 
Baadhi tumeshamtahadharisha kuwa kujaribu kuifufua CCM na kuikubalisha tena kwa watanzania ni jambo lisilowezekana.Baadhi yetu hatuipendi CCM isipokuwa utendaji wake Magufuli mwenyewe.CCM ya akina Gambo,Hapi,Ndugai na sampuli za "ukoo" huo hapana.Yeye madhali amebahatika kufika hapo afanye tu tunayoyataka watanzania.Akitaka kuubaini ukweli afanye utafiti kidogo.Watu wengi wanachukizwa na siasa za kijinga za kukomoa wakosoaji.Siasa za kushindwa kuweka kipaumbele katika mambo ya msingi badala yake kuweka nguvu katika masuala ya "rejareja" tu.
Hapa ndipo naendelea kuwashangaa wadanganyika
Utamtenganishaje
Mwenyekiti na ccm hivi hamuamini kwamba wa nayotenda hao wanunua madiwani hayana baraka zake?
Poleni sana mtaendelea kumuimbia mapambio mwisho mtachoka na hasa linapokuja hili jinamizi lakubadili Katiba
....sikieni enyi wapiga filimbi wa mtawala ADUI wa NCH hii ni CCM
....fullstop haijalishi nani anatawala
..mkwere aliipenda sana ccm hadi Rasimu ya KATIBA ikawa kama ILANI ya Chama nahuyu
Anaipenda CCCM tena kwa kuilinda na majeshi nyie bado Mnasema kuna lamaana anafanya Poleni sana
Siku sio nyingi mtaelewa

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Baadhi tumeshamtahadharisha kuwa kujaribu kuifufua CCM na kuikubalisha tena kwa watanzania ni jambo lisilowezekana.Baadhi yetu hatuipendi CCM isipokuwa utendaji wake Magufuli mwenyewe.CCM ya akina Gambo,Hapi,Ndugai na sampuli za "ukoo" huo hapana.Yeye madhali amebahatika kufika hapo afanye tu tunayoyataka watanzania.Akitaka kuubaini ukweli afanye utafiti kidogo.Watu wengi wanachukizwa na siasa za kijinga za kukomoa wakosoaji.Siasa za kushindwa kuweka kipaumbele katika mambo ya msingi badala yake kuweka nguvu katika masuala ya "rejareja" tu.

Ingekuwa JF inatoa weekly award basi zawadi ya wiki hii ningependekeza upewe, ila naomba nikupe like x10000000.

Ukada na kuwaza kiCCM ni moja ya vitu ambavyo vimekwamisha Tanzania na vinaweza kumkwamisha Magufuri pia, moja ya vitu vinavyowatatiza wanaCCM kwa sasa nikuona kila mkosoaji au mtoa ushauri ni mpinga CCM na ni kada wa CDM, na wamejaribu kuiaminisha Jamii hivyo.. kuwaza kiCCM au KiUVCCM basi wewe ndio mzalendo na ndio unaakili, mwisho wa siku washauri wameendelea kuwa na mawazo Mgando na ile UVCCM imeendelea kuwa mtambo wa kuzalisha vibaraka,mbumbumbu,makahaba,wanafiki na wezi kwenye mifumo ya nchi hii na kupelekea Taifa kufeli..

System itenganishwe na UCCM ili kupata vipaji vipya kutoka chini vitakavyokua kizalendo, mentality ya watanzania ijengwe kwenye misingi ya kufanya kazi na kutokuwa ombaomba. System ifanye kazi kama system kwa misingi ya maendeleo ya nchi na sio kwa misingi ya kuilinda CCM, Magufuli kama kweli ana nia nzuri hana budi kutwist Game la MACCM naikiwezekana kuiua kabisa CCM na kuanzisha aina mpya ya siasa kwa maendeleo ya Taifa hili.

Ukada umewaletea Watanzania umasikini na kuwapa Utajiri Waarabu na Wahindi, Ukada umewafanya watanzania kuwa wanafiki na wapiga ramri na mwishowe kuliweka Taifa kwenye shimo lefu ambalo linahitaji kazi ya ziada ili tuchomoke..
 
Acha watu watimize haki zao za kikatiba mkuu, wewe ndiye unayeleta siasa za shombo na hujijui kama unafanya hivyo.

Swala la kuhama au kutokuhama lipo ndani ya maamuzi ya mtu binafsi. Hoja kwamba wamehongwa inahitaji ushahidi. Na mpaka sasa hakuna hata mmoja kati yenu aliyeleta ushahidi kuhisiana na tuhuma hizo za baadhi ya watu wenu kuhongwa. Hivyo mpaka sasa naichukulia tu kama porojo na jitihada za kuchafua nia ya dhati ya wahusika kumsupport Magu katika jitihada zake za kunyoosha nchi.

Acha watu wafanye maamuzi wanayoona wao yanafaa, kama wewe ulivyo na haki ya kuamua hicho unachokiamini, sio lazima wote tuwe wapinzani ndio haki ionekane kutendeka hapa nchini.
 
Kama unampamba rais kiasi hiki haina haja ya kuficha id mkuu!Kwa kifupi mimi sioni mafanikio ya awamu ya tano mpaka hapa tulipo!Hali ya maisha imekua mbaya na mfumuko wa bei umekua mkubwa!Je tuendelee kusubiri viwanda au tuendelee kununua vyerehani vinne?
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, MTU WEWE UTAVUNJA MBAVU WATU.
 
Acha watu watimize haki zao za kikatiba mkuu, wewe ndiye unayeleta siasa za shombo na hujijui kama unafanya hivyo.

Swala la kuhama au kutokuhama lipo ndani ya maamuzi ya mtu binafsi. Hoja kwamba wamehongwa inahitaji ushahidi. Na mpaka sasa hakuna hata mmoja kati yenu aliyeleta ushahidi kuhisiana na tuhuma hizo za baadhi ya watu wenu kuhongwa. Hivyo mpaka sasa naichukulia tu kama porojo na jitihada za kuchafua nia ya dhati ya wahusika kumsupport Magu katika jitihada zake za kunyoosha nchi.

Acha watu wafanye maamuzi wanayoona wao yanafaa, kama wewe ulivyo na haki ya kuamua hicho unachokiamini, sio lazima wote tuwe wapinzani ndio haki ionekane kutendeka hapa nchini.

Ninafahamu kuwa uko mjuzi kidogo wa mambo ya kisheria.Ushahidi ni pamoja na mazingira (circumstantial evidence). Ikiwa kweli unamsaidia Magufuli na unaguswa na vitu anavyovifanya huwezi kubenderea mambo yanayofanyika ya kurubuni watu.DC au RC anayeweka katika mipango yake kazi ya kununua watu na kuwafundisha kuandika barua za kujiuzulu kwa nyadhida mbalimbali kwa kumsifu Raisi huyo mtu anafikiri kwa kutumia "kwato" za miguu yake.Katika kipindi kama hichi ambacho nchi iko katika kujipaisha kiuchumi ni lazima kila kiongozi atafsiri maono hayo kwa vitendo.Hivi madiwani au wapinzani huko Arumeru au Ukerewe wakiwa upande wa pili wanakwamishaje maendeleo ya maeneo husika hadi DC aone kuna haja ya kuwavusha tena ng'ambo nyingine?

Wapinzani ndio wamewaficha wawekezaji? Wapinzani ndio wamezuia mikutano ya ku-sensitize vijana kujiunga katika vikundi ili kujiajiri? Wapinzani ndio kikwazo cha kupatikana masoko ya bidhaa za wananchi?

Hebu tufanye siasa za kisasa.Tuache siasa za kijima na "kiyahudi."
 
Siamini kama kuna kununuliwa madiwani. Kama kweli hii ni aibu na kama uongo basi viongozi wa vyama husika wajitathimini kwanini vyama vyao vinakimbiwa. Wabadili aina ya siasa wanazofanya.
 
Ma rc,dc n.a. wakurugenzi wa wilaya n.a. mikoa ni makada wa chama n.a. wanapewa kazi maalum kuua upinzani n.a. swala la viwanda liko dar tu siyo mikoani. Kama ulivyosema wanafikiri ukishauwa upinzani Tanzania itafanana n.a. Marekani kiuchumi

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app

Huu uandishi wa hivi nawaza kwa sauti umeweza je hata kujiunga JF? As if ndio wajifunza kuandika khaaaa
 
Back
Top Bottom