masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Naungana na wewe katika hilo.Maana ya kupima upepo ni kuwa sio lazima kila wakati kuuliza maswali. Hata mwl akimaliza kufundisha kuna wanafunzi huwa wanachukua nafasi kwanza kuelewa kilichofundishwa kabla ya kunyoosha mkono kuuliza swali.
Chukua gazeti la mwananchi la Leo UTAELEWA uwezo wa waandishi wa habari. Tena kwa maswali yaleyale ya jana. Hasa swali la gharama zilizookolewa. Yaani Mwananchi ina waandishi waliokomaa. Subiri na gazeti la Jamhuri, Mawio nk yakitoka UTAELEWA. Na ndipo utaona Mhe. Rais anawajenga waandishi wetu wa habari wawe ni Ma analysts wazuri na wasiwe wa kutafuniwa na kumezeshwa.
Pia gazeti moja limeweka picha ya waandishi wa habari na Mhe. Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Katibu Mkuu Kiongozi. Waandishi waliohudhuria walielewa, shida ni waandishi wa habari walio nyuma ya keyboard Kama wewe.
Queen Esther
Waandishi wengi ni very poor thinkers, na huo si uongo.
Wanapenda kuuliza vimaswali ambavyo mtu akimput off wanaona kama kawadharau vle!
Wenzenu nchi nyingine swali moja na jib lake linakuwa na follow up news au mwandishi anakuwa kafanya background checks za facts.
Hapo unakuwa na uwezo wa kumkanusha hata anyejibu swali.
Lakini kama ni kuafuta news tu, unaambiwe nenda kule kapate habari unazotaka, kwa vle hata unayemuuliza swali anajua hujafanya homework yako.