Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

Desteo

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
494
123
Leo nimemuona akijibu maswali ya waandishi baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri. Pamoja na kwamba aliitisha maswali ni wazi kwamba alikuwa akiwajibu kavu wale waliouliza pamoja na waulizaji kujitahidi kuuliza maswali ya msingi.

Mtu anauliza umetumia vigezo gani kuwateua hao kuwa mawaziri. Jibu lake ni kuwa kwani nilitumia vigezo gani kumteua Majaliwa kuwa waziri mkuu? Sisi tunajuaje? Toa ufafanuzi mkuu.

Kwa mwendo huu waandishi watasusia mambo ya msingi sana na kumwachia Msigwa kutoa habari zote za Magufuli..
 
yeah!
Dkatari Magufuli hapo mkuu uliteleza, hawa jamaa wa media ukiwa handle ni wazuri tu.
 
Mimi nadhani na anayeuliza swali alipime kwanza hajalitoa. Maswali yanayoulizwa wakati mwingine hata sisi wasikilizaji tunashangaa!! Pia sio lazima kila mahali uulize swali hata Kama umeruhusiwa. We angalia kilichokupeleka, Pima upepo, jikung'ute baada ya kumaliza endelea na safari yako.

Mhe. Rais Leo alikuwa kikazi zaidi (#HapaKaziTu)

Queen Esther

Leo nimemuona akijibu maswali ya waandishi baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri. Pamoja na kwamba aliitisha maswali ni wazi kwamba alikuwa akiwajibu kavu wale waliouliza pamoja na waulizaji kujitahidi kuuliza maswali ya msingi. Mtu anauliza umetumia vigezo gani kuwateua hao kuwa mawaziri. Jibu lake ni kuwa kwani nilitumia vigezo gani kumteua Majaliwa kuwa waziri mkuu? Sisi tunajuaje? Toa ufafanuzi mkuu. Kwa mwendo huu waandishi watasusia mambo ya msingi sana na kumwachia Msigwa kutoa habari zote za Magufuli
 
Waandishi wanajikomba kwa magu
Magufuli ni
MJIVUNI ANAJIONA YEYE NDO ANA AKILI KUSHINDA WATANZANIA WOTE
 
Mimi nadhani na anayeuliza swali alipime kwanza hajalitoa. Maswali yanayoulizwa wakati mwingine hata sisi wasikilizaji tunashangaa!! Pia sio lazima kila mahali uulize swali hata Kama umeruhusiwa. We angalia kilichokupeleka, Pima upepo, jikung'ute baada ya kumaliza endelea na safari yako.

Mhe. Rais Leo alikuwa kikazi zaidi (#HapaKaziTu)

Queen Esther

wewe na wa jinsia inayofanana nawe huwa hamuwezi mpaka muwezeshwe. sijaona kama mmeundiwa wizara ya jinsia yenu.

PUMBA KABISA!!!!
 
Mimi nadhani na anayeuliza swali alipime kwanza hajalitoa. Maswali yanayoulizwa wakati mwingine hata sisi wasikilizaji tunashangaa!! Pia sio lazima kila mahali uulize swali hata Kama umeruhusiwa. We angalia kilichokupeleka, Pima upepo, jikung'ute baada ya kumaliza endelea na safari yako.

Mhe. Rais Leo alikuwa kikazi zaidi (#HapaKaziTu)

Queen Esther

Pole Sana Kwa Upeo Unao Upaka Rangi,kaulizwa Katumia Vipimo Gani?Unasema Sio Ya Msingi Kwani We Huo Ushabiki Wako Upunguza Hata Bei Ya Nondoo Au Kutoa Hata Ajira 50 Tu Zaidi Ya Mji Kurundikwa Vifusi Vya Taka Hopeless
 
Leo nimemuona akijibu maswali ya waandishi baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri. Pamoja na kwamba aliitisha maswali ni wazi kwamba alikuwa akiwajibu kavu wale waliouliza pamoja na waulizaji kujitahidi kuuliza maswali ya msingi. Mtu anauliza umetumia vigezo gani kuwateua hao kuwa mawaziri. Jibu lake ni kuwa kwani nilitumia vigezo gani kumteua Majaliwa kuwa waziri mkuu? Sisi tunajuaje? Toa ufafanuzi mkuu. Kwa mwendo huu waandishi watasusia mambo ya msingi sana na kumwachia Msigwa kutoa habari zote za Magufuli

Pamoja na majibu yake ambayo yamenishangaza lakini nawapongeza waandishi hawakua na hofu waliendelea kuuliza maswali...ingekua wengine wangekua na hofu...waandishi hawaogopi wanaujasiri..
 
unawambia kwamba wafanye utafiti, huenda mtu kafanya utafiti na labda kwa limitations zilizopo kuchanganya na 'ujnga wake' kashindwa kuelewa hivyo ni bora ukampa jibu badala ya kuendelea kumwambia 'jiulize'!
 
Mimi nadhani na anayeuliza swali alipime kwanza hajalitoa. Maswali yanayoulizwa wakati mwingine hata sisi wasikilizaji tunashangaa!! Pia sio lazima kila mahali uulize swali hata Kama umeruhusiwa. We angalia kilichokupeleka, Pima upepo, jikung'ute baada ya kumaliza endelea na safari yako.

Mhe. Rais Leo alikuwa kikazi zaidi (#HapaKaziTu)

Queen Esther
Hahahaaa...! Kama yule aliyeambiwa akafanye mahesabu vizuri kwa kuwa ni mwandishi sio? Ila mshaurini asiweke mbwembwe sana maana itaonekana anawadharau waandishi
 
Back
Top Bottom