Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,008
Mkuu nahisi unamasihara na lizaboniKweli mkuu,kuna watu wanaishi kutegemea mitandao ya kijamii.
Mkuu nahisi unamasihara na lizaboniKweli mkuu,kuna watu wanaishi kutegemea mitandao ya kijamii.
Yanayoning'inia kwa mzee wakoTbc ndio nini?
Umepatwa na stroke nini mbona unachanganya mada? Tunaongelea mitandao!Vijana wa ufipa walikua wanategemea kupiga perdiem kwenye issues za maandamano, operesheni zisizo na kichwa wala miguu, kama sangara, samaki, ukuta na nyinginezo ambazo mpaka sasa zote zimepigwa pini, yaani ni majanga tu upande wa pili, wanapumulia mashine, hela za viroba hakuna.
Si nimesikia kuna mpango wa kuanzisha Bustani za free Wi-Fi katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar?"Mtu anayekwazwa na meseji za Twitter, Facebook au Whatsapp hapaswi kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na kuwa Amiri Jeshi Mkuu"....(Bi. Hilary Clinton, Sept. 26, 2016)
Mshara mpaka leo haujaongezwa ndio maajabu hayo.Vijana waliomaliza mwaka jana vyuo wanakutana na mwaka huu taabu tupu.Tuna uwezo wa kutoa $mlns kununua Used, na bado wafanya kazi hawana mazingira mazuri ya kutendea kazi.Watu mpaka sasa wanavinyongo baada tu ya haki yao kisheria kuwekwa pending kwa Nukuu ya hewa hewa wafanyakazi.Wafunge tu hiyo mitandao,kama ni madudu yatajulikana,wamesahau kuwa hiyo mitandao ndio imewapa kura.Wamesahau kuwa palikuwa na TEAM MPJ,vijana hawakulala kwa ajili yao,wamesahau hawa hawa vijana wa mtandao ndio walikuwa wakitia zile point na magroup yoote yale."Masikini akipata matako hulia mbwataa"maendeleo gani ? Huyu ngosha mshamba sana hutwo tudaladala Twa angani tuwili majigambo kibao, hat mchezaji kama christian Ronaldo anazo, yeye alikimbilia kujenga uwanja chato akasahau hakuna ndege ndo maana ameshindwa kununu madawa Hosp. anakimbilia kununa ndege. chato oyeee!!
Labda ni maroboti, ndiyo maana wanatamani mitandao izimweTWAWEZA wanasema Rais anakubaliwa kwa 90%,sasa hawa wa mitandaoni labda wakenya
Inashangaza sana. Km kabana ajira mpaka sasa hivi lazima uwe kweny wakati mgumu.Nimeshangaa alivyosema.
Uraisi ni MATESO,
Anatamani Uraisi uwe wa miaka miwili!
Au kashasahau aliahidi hatotuangusha!
Utendaji wake ni wa hovyo na bado anataka watu tuwe mabubu kwa miaka mitano kuhusu mustakabali wa nchi yetu kwa sababu tu mtakatifu wa Ikulu hapendi na hataki kukosolewa na Watanzania.
Tanzania: Earthquake survivors face task of rebuilding''Natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''. Ni kauli ya Rais Magufuli.
Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ndege mbili aina ya Bombadier Q400, ambazo zimewasili nchini rasmi kutoka nchini Canada.
Amesema kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanaandika bila kuwa na taarifa sahihi. Amesema, "No research no right to speak"
IF YOU DO NOT KNOW WHERE YOU ARE GOING ANY ROAD WILL TAKE YOU THERE (TUSIPOKUWA NA VIPAUMBELE NI TATIZO) TUKATUMIA BILA KUFUATA BAJETI YA BUNGE HAPO NI TATIZO KUBWA HII MITANDAO INATUSAIDIA SANA KUPASHANA HATA WAO KUMBE WANASOMA MAWAZO YETU JAPO YANA WAKELA TUSIACHE KUSEMA HII INCHI NI YETU SOTE TUSIOGOPE KUSEMAMalaika KAMWE hawawezi kushuka kwa tamaa ya mtu asiyejali sheria za nchi na uhuru wa Watanzania kuzungumza na kujadili mambo mbali mbali ya mustakabali wa nchi yao hata kama hawajafanya research yoyote ile. Kujua nini kinachoendelea kwenye nchi yetu haikuhitaji kufanya research yoyote ile tunaona hali halisi kila siku iendayo kwa Mungu na kusikia manung'uniko ya Watanzania wenzetu kuhusu hali ya nchi yetu.
Jaji Warioba hakufanya research yoyote ile lakini naye kahitimisha kwamba nchi inaenda mrama.
Huyu atakuwa Mrundi...eti "ajizo" ndiyo "agizo"ulimaanisha "agizo" au?
Naona Twaweza wanasema 1% ya watanzania ndiyo wanaosupport Maandamano hebu mlioko huko mtuambie.Na kwamba demkrasia imepanda sana.SIjui ni kinyume au?