Killerman
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 326
- 183
Mda fulani mnabore sana nyie mnaojiita wanamabadiliko. Kweli nimeami mabadiliko yanaweza kuwa positive au negative, na nyie kumbe mlikuwa mnataka kutupeleka kwenye negative.
Mwacheni magufuli afanye yale, kwani ulishawahi kupna raisi anafanya haya anayoyafanya magufuli kwa sasa? Hii ni kuonesha kuwa huyu ni mtu wa kazi bila kujali kuna mawazilrinau hakuna. Haya anayoyafanya unajuwa alitakiwa afanye waziri wa nini? Mbona anayafanya yeye mwenyewe, unafikiri akitokea waziri mzigo, mwenye mawazo kama yako mtoa mada, atashindwa kumtimua na akafanya mwenyewe?
Mnabore saaaaaaaana tena sana. Tushachoka kuwasikia kwenye mitandao humu sasa. Watu washabadilika kimtazamo, hawako na mwazo ya kimanyumbu kama yenu nyie mnaopelekwa na mawazo mgando ya kushikiwa kama nyie wachache mliobaki na fikra hizo.
Uchaguzi ushaosha jamani, saa hizi tuwe na dhamira ya kuona nchi ikienda mbele. Upinzani sio kupinga hata linalooonekana linaenda vizuri..... Shame upon you.....