Rais Magufuli na msafara wa magari 4

Anahatarisha maisha yake kufanya hivyo. Ni kumuombea tu.wasio mpenda wote wana uwezo wa kinyama
 
Hayo safi kabisa yanatosha...hii nchi ina amani ya nini kutembea na msururu wa migari 20!?!

Kweli Dkt Magufuli ni chaguo la Mungu. Na Mungu pekee ndiye atamlinda mja wake.

watanzania tuna. mtindio wa ubongo yaani mtu ndio anaanza kazi sifa zinazotolewa hazilingani na hata robo ya kazi aliyofanya.
 
Kwa jinsi system ya usalama wa taifa ilivokua corrupt na hata kipindi cha uchaguzi mmbo yalivokua yanavuja hovyohovyo,nadhani akijiongezea watu anajiongezea risk ya exposure....wako very corupt sije wakamuangamiza raisi wetu.walinzi na waamnifu ingewezekana achukue hata makomando wa Sangasanga ambao hawana Allegiance na mtu.ila kama ni kuongezewa watu wa usalama wa taifa sishauri
 
Muombeeni yeye na wanaoifanya kazi hiyo ya ulinzi kwa weledi, kujitoa, mapenzi na uadilifu wa hali ya juu kwa nchi . . ..

Inapendeza kuona raia wakiwa na hali ya juu ya kumjali kiongozi wao na kukubali kuwa ulinzi ni jukumu pana la kila mmoja kwa niia moja au nyingine
 
Kwa jinsi system ya usalama wa taifa ilivokua corrupt na hata kipindi cha uchaguzi mmbo yalivokua yanavuja hovyohovyo,nadhani akijiongezea watu anajiongezea risk ya exposure....wako very corupt sije wakamuangamiza raisi wetu.walinzi na waamnifu ingewezekana achukue hata makomando wa Sangasanga ambao hawana Allegiance na mtu.ila kama ni kuongezewa watu wa usalama wa taifa sishauri

Acha watu wafanye kazi yao. . .
 
Hammy d hata hueleweki, marais wote unawasifia,maguful.kweli anastahili pongeZi. JK utamponda muda huu kama alivopondwa na magufuli?
 
Namshauri magufuri aongeze msululu wake aspokua makini snipers watafanya yao bure
 
Mimi naomba kila mmoja na imani yake akiamka asubuhi kabla ya kazi, asali sala fupi kumwombea kwa Mungu amjalie afya njema na maisha marefu rais wetu JPJM
 
Lakini ieleweke kuwa anapambana na system ya waharifu! popote wanaweza kupenyeza rupia wakapata mtu wao wa kummaliza Mh Rais wetu!

Unajua adui ukimjua,unajua mbinu zake pia!Cha muhimu amweke Mungu mbele na asimwamini mtu sana!
 
Elimu ya Watanzania. Nimetazama kurasa mbili tu za thread hii nikatuta makosa haya ya silabi na Kiswahili: Ulietupa, ibadirike,tahadhali, Sinkara, Bukinafaso, waharifu..............
Hili si jambo la mzaha.Yaani Mtanzania hawezi kuandika jumla moja bila ya makosa. Naamini wanaochangia hapa angalau wamemaliza form IV....! Hili ni janga la taifa.
 
Back
Top Bottom