Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

HUYU BWANA YULE HUWA ANAFATA UPEPO WA WAPINZANI TULISEMA SANA HUMU FINAL HE IS THEAR

swissme
 
mpaka asemwe humu jf ndio aende,wahaya mshukuru jf huyo hakuwa na ratiba ya kuja huko

Ni bora tu wana Kagera wasijitokeze. Miezi minne baadaye tena baada ya shinikizo kubwa hapa jamii forums. Na pesa zao bilioni 16 walizochangiwa kishazikwapua.
Kwa vile ninyi ni wataalam wakuwasema watu, na bahati nzuri mkiwasema wanatekeleza naomba mumseme Mbowe na El waende kumuona Lema. Nadhani watawaelewa
 
Umati wa watu utakaojitokeza kesho utapeleka kilio kwa mafisadi.

Wananchi wako tayari kubadili katiba na kumruhusu magufuli awe rais wa milele ili kuyaangamiza kabisa mafisadi wa ufipa.
Mpaka sasa ameisha yaangamiza mafisadi wangapi? Kubadili katiba kwa lipi kubwa HASA alilolifanya?
 
mpaka asemwe humu jf ndio aende,wahaya mshukuru jf huyo hakuwa na ratiba ya kuja huko
Wahaya washaikataa CCM na utawala wake tangu uhuru. Majaribio mengi ya kutaka kuupindua utawala wa Nyerere yalikuwa huku ndo maana Nyerere aliwachukia sana Wahaya. Lakini pia wamkataa Kikwete na Bukoba ni moja ya eneo ambalo Kikwete aligaragazwa kwa uwazi kabisa. Magufuri aligaragazwa vibaya sana Bukoba, Muleba, na Karagwe. Ndiyo maana ana chuki sana na mkoa huu.

Kwa hiyo la wahaya kutopenda ujinga si la leo na ndiyo maana serikali inawakandamiza tangu utawala wa mwanzo
 
Acha uongo. Wakati anamkabidhi jukumu PM alimwambia yeye atakuwa wa mwisho kwenda Kagera
wacha uzuzu,huwezi acha watuwako kwenyeshida usiende wapa pole na faraja eti umkabidhi mtu. Mbona amehudhuria misiba kadhaa au kunawatu muhimu na wengine (tenawengi) wasio? Kwavyovyote iwavyo alikosea saana na hatutaki hilo lijitokeze Tena maana linasikitisha. Watu washapoa Sasa ukienda inakuwanini?? Tuoneshane upendo hasa kipindi cha shida kwako raha. Ingetokea Pindi kampeni zinaendelea tungewahi chap, banaeeh mi nimemind sana namwongelea trump lakini
 
Ni bora asiende, anakuja kuhani ama anakuja kuondoa aibu? Hata kama alikuwa ni ndugu yenu haina haja ya kumkumbusha mtu eti wale ni ndugu zako. Na hamna haja ya kumnyenyekea kiasi hicho eti kisa aliwahi kuwa ndugu yenu
 
Back
Top Bottom