So what??Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
View attachment 2784817
View attachment 2784823
View attachment 2784824
View attachment 2784825
View attachment 2784827
HakikaHao sio wananchi ni Wana ccm
Wanaccm sio wananchi? Hebu tupe tofauti Kati ya wananchi na ccmHao sio wananchi ni Wana ccm
Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.
Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
View attachment 2784817
View attachment 2784823
View attachment 2784824
View attachment 2784825
View attachment 2784827
Utajua haujui!!Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.
Tulisha ota hizi ndoto, 2005, 2010, 2015, 2020 mpaka tukajakujua wote ni wale wale wanafanya maigizo.....Utajua haujui!!
WanaCCM ni kikundi cha wananchi wanaoamini katika uovu. Wananchi ni ujumla wa raia wote.Wanaccm sio wananchi? Hebu tupe tofauti Kati ya wananchi na ccm
Wangapi ni wanafunzi waliolazimishwa?Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
View attachment 2784817
View attachment 2784823
View attachment 2784824
View attachment 2784825
View attachment 2784827
Fuso zilipata ulaji hukoRais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.
Kama hali ndiyo hii, inatia matumaini sana.Hao sio wananchi ni Wana ccm