Kumsimanga nani?Mmekazana kumsimanga
Kumsimanga nani?Mmekazana kumsimanga
Heshima ishike mkondo wake! Rekebisha hilo jina.Kauli ya Mh. Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli kuwa waliosoma shule za private wasipewe mikopo inaleta ukakasi kwa sababu inajulikana watoto wake wamesoma/wanasoma shule za binafsi. Yupo mmoja yule aliyepata umaarufu akiwa UDOM ajulikanaye kwa jina la Jesca huyu alisoma St. Methew's Secondary iliyoko Kongowe nje kidogo ya Dsm kuelekea Mkuranga.
Swali la kujiuliza huyu alipokuwa chuoni hakupewa mkopo? Au yeye Magufuli anataka watoto wa wenzake wasipewe mkopo ila wa kwake wapewe?
Hujui ya kesho dada, kesho unaweza ukahama wewe. Amin hakujua kama atafia Uarabuni, tumwachie Mungu!Shule za Kata Kwanza, hutaki hama nchi!
Hujui ya kesho dada, kesho unaweza ukahama wewe. Amin hakujua kama atafia Uarabuni, tumwachie Mungu!
Nikutishe nina ubavu huo! nafikiria possible scenario zinazoweza kuwapata watu kama nyinyi mlio madarakani from history!Kwa hiyo unanitisha au?
Nikutishe nina ubavu huo! nafikiria possible scenario zinazoweza kuwapata watu kama nyinyi mlio madarakani from history!
Aiseeeeee !!!Kauli ya Mh. Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli kuwa waliosoma shule za private wasipewe mikopo inaleta ukakasi kwa sababu inajulikana watoto wake wamesoma/wanasoma shule za binafsi. Yupo mmoja yule aliyepata umaarufu akiwa UDOM ajulikanaye kwa jina la Jesca huyu alisoma St. Methew's Secondary iliyoko Kongowe nje kidogo ya Dsm kuelekea Mkuranga.
Swali la kujiuliza huyu alipokuwa chuoni hakupewa mkopo? Au yeye Magufuli anataka watoto wa wenzake wasipewe mkopo ila wa kwake wapewe?
wamejisahau mno !Hujui ya kesho dada, kesho unaweza ukahama wewe. Amin hakujua kama atafia Uarabuni, tumwachie Mungu!
wewe hapa unafanya nini.. full time JF! Propagandist?Basi hauna kazi ya kufanya!
Msemakweli chakubangaSio polepole huyu?
Huo ndio alimpa wewe?Kauli ya Mh. Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli kuwa waliosoma shule za private wasipewe mikopo inaleta ukakasi kwa sababu inajulikana watoto wake wamesoma/wanasoma shule za binafsi. Yupo mmoja yule aliyepata umaarufu akiwa UDOM ajulikanaye kwa jina la Jesca huyu alisoma St. Methew's Secondary iliyoko Kongowe nje kidogo ya Dsm kuelekea Mkuranga.
Swali la kujiuliza huyu alipokuwa chuoni hakupewa mkopo? Au yeye Magufuli anataka watoto wa wenzake wasipewe mkopo ila wa kwake wapewe?
Anakwambia kwel weka akiba ya manenoKwa hiyo unanitisha au?
Mkuu Magufuli hujisimangisha mwenyewe. Mara nyingi amalizapo kuongea wasikilizaji hutafuta panado zilipo.Mmekazana kumsimanga
We jamaa mbona nawewe umo ina maana nawewe huna kazi za kufanya? Ujue sio lazima ufanye wewe kazi wengine wameajiri.Hili jamaa linajiita Barbarosa sijui halina kazi ya kufanya? Kila ukipita humu unakuta limejaa linachangia kila hoja.
Ungekua na uhakika kwanza kama jesca alipewa mkopo au la ndio uje vinginevyo taarifa yako ni umbea tuKauli ya Mh. Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli kuwa waliosoma shule za private wasipewe mikopo inaleta ukakasi kwa sababu inajulikana watoto wake wamesoma/wanasoma shule za binafsi. Yupo mmoja yule aliyepata umaarufu akiwa UDOM ajulikanaye kwa jina la Jesca huyu alisoma St. Methew's Secondary iliyoko Kongowe nje kidogo ya Dsm kuelekea Mkuranga.
Swali la kujiuliza huyu alipokuwa chuoni hakupewa mkopo? Au yeye Magufuli anataka watoto wa wenzake wasipewe mkopo ila wa kwake wapewe?