Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

Kauli ya Mh. Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli kuwa waliosoma shule za private wasipewe mikopo inaleta ukakasi kwa sababu inajulikana watoto wake wamesoma/wanasoma shule za binafsi. Yupo mmoja yule aliyepata umaarufu akiwa UDOM ajulikanaye kwa jina la Jesca huyu alisoma St. Methew's Secondary iliyoko Kongowe nje kidogo ya Dsm kuelekea Mkuranga.

Swali la kujiuliza huyu alipokuwa chuoni hakupewa mkopo? Au yeye Magufuli anataka watoto wa wenzake wasipewe mkopo ila wa kwake wapewe?
Heshima ishike mkondo wake! Rekebisha hilo jina.
 
Aiseeeeee !!!
 
Huo ndio alimpa wewe?
 
Labda alilipa,si unajua alikuwa waziri. Five milions hazimshindi.. unless unaushahidi alikopa.
 
Kauli ya Mh. Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli kuwa waliosoma shule za private wasipewe mikopo inaleta ukakasi kwa sababu inajulikana watoto wake wamesoma/wanasoma shule za binafsi. Yupo mmoja yule aliyepata umaarufu akiwa UDOM ajulikanaye kwa jina la Jesca huyu alisoma St. Methew's Secondary iliyoko Kongowe nje kidogo ya Dsm kuelekea Mkuranga.

Swali la kujiuliza huyu alipokuwa chuoni hakupewa mkopo? Au yeye Magufuli anataka watoto wa wenzake wasipewe mkopo ila wa kwake wapewe?
Ungekua na uhakika kwanza kama jesca alipewa mkopo au la ndio uje vinginevyo taarifa yako ni umbea tu
 
Kwanza cha kufahamu ni kuwa mkopo sio bure. Hivyo ni kwamba mtu anapunguzia tu matatizo. Wanaopunguziwa matatizo ni wapiga kura wake. Time will tell.
 
Back
Top Bottom