Mh. Rais kwanza hongera...
Umeteua baraza dogo sana la Mawaziri, na pia umeweka watendaji kweli... ila kuna sehemu umekosea..!!
1: AGGREY MWANRI unamjua..? Utendaji wake kweli kweli hukuona..? Au sbb anatoka kaskazini..? Anyway najua hilo utalifanyia kazi..
2: Pia Nape Nauye hapo umekosea sana, sijui umetumia vigezo gani, huyo kabisa hafai.. anyway sbb umempa wizara ya habari, haina uzalishaji, ila ni bure huyo... utakuja nikumbuka..!!
3: UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO... Hapa mpe AGGREY MWANRI... ni mtu wa kasi yako... ila NAIBU ni NGONYANI... sasa sijui ni Professor Maji Marefu... kama ni huyo Mh. Rais umekosea sana sbb ni
kiwango chake cha Elimu ni std 7..ni mbunge ndio ila hataweza wizara hiyo...
4: Wengine akina Lukuvi, Muhongo, Mwigulu, hawa ni watendaji...na uhakika wataenda na kasi yako... pia Kuna Phillip Marmo, sijui yuko wapi huyu siku hizi niliskia ni Balozi.. ila ni mtendaji sana sanaa.. anafaa Uwaziri au Naibu Waziri... pia ni mwadilifu sana
Kazkazini hatuna shida na waziri sisi kazi tuliianza siku nyingi nyinyi ndio mmeianza Leo
Duh. Nyalandu katupwa kule?
Kaskazini wapigwa chini hata waziri mmoja anayetokea ukanda huo!!!?
Ccm hata mngepata malaika kuwa RAIS bado hakutakuwa na mabadiliko yoyote.