Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

nape nnauye -waziri wa michezo

Magazeti, blog uchwara, redio na TV yatayozengua kwa kuleta habari
kimeo wajiandae, kwani wakicheza watakula rungu la kichwa toka kwa Nnape Nnauye.
 
duuu hii hatari sana

eti waziri hajapatikana, bado anatafutwa, wizara ya fedha na zingine

ha ha haaa
 
Back
Top Bottom