Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 377
- 672
ABSOLUTELY!Nchi yetu inaangamizwa na siasa (za pande zote). Njia unayotumia ni nzuri sana kwani muda wote utakuwa na free mind. Na ukiwa na free mind hakika wigo wa kuona opportunities ni mpana!
Sent using Jamii Forums mobile app