Rais Magufuli aongoza Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam leo

Jana amesema mawaziri hawana furaha na amani! Anavyowakimbiza na hawajui kesho yao kuna nini!! Poleni sana mliyataka wenyewe ndani ya chama mnajuta sasa!
 
khaaaaaa naibu waziri ni mjumbe wa baraza la mawaziri siku hizi??
Sijasema hivyo ila yupo, hata naibu waziri Wambura naye yupo, wapo makatibu wakuu,kuna Gavana. Wanaweza kuwa waalikwa kutoka umuhimu wao katika masuala yanayojadiliwa
 
Niliwahi kuangalia kikao cha Baraza la Mawaziri la Idi Amini...pale Mawaziri walipozungumzia vitu ambavyo hakuwa na ufahamu navyo alitishia kuwatimua kazi, yan ni vurugu mwanzo mwisho!
 
Sijasema hivyo ila yupo, hata naibu waziri Wambura naye yupo, wapo makatibu wakuu,kuna Gavana. Wanaweza kuwa waalikwa kutoka umuhimu wao katika masuala yanayojadiliwa
mkuu utakuwa hujanielewa, nilikuwa nashangaa ni kwa namna gani NAIBU WAZIRI akawa ni mjumbe wa baraza la mawaziri!

kama uliowataja wapo basi hilo sio BARAZA LA MAWAZIRI waaambie watafute jina lingine kuliitaa!
 
Wanajadili panga boi
Wewe ni mtanzania au
Au wewe ni mfanyakazi wa fast jet unahofu kupunguzwa kazi

Green is life

1475173241170.jpg
 
Except Mwakyembe, mawaziri wengine wote including Makamu wa Rais hakuna anayetabasamu wala hata kuonyesha uso wa furaha. Bila shaka hawakuwa hata na nafasi ya kuchangia chochote rather walikuwa wanasikiliza maelekezo tu.

yaani hata mi nikiangalia wote wamejaa uwoga kabisa hawako comfy kabisa......Natarajia mawazo yangu sivyo ilivyo na kama ndivyo ilivyo mheshimiwa ana kazi kubwa kutengeneza mfumo.....Baba wa taifa alisema nidhamu ya uwoga ni gonjwa baya sana
 
January Makamba yuko wapi ? Au yupo na Mahiga kutuwakilisha kwenye mambo ya kimataifa ?
 
Back
Top Bottom