Rais Magufuli aombwa ikibidi alivunje bunge

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
KAMA BUNGE LITAKUKWAMISHA MH RAIS MAGUFULI, USISITE KULIVUNJA ,WARUDI KWETU WANANCHI TUWASHIKISHE ADABU.
Sisi ni wananchi wa ARUSHA hasa hapa mjini.Leo wananchi karibu mia tulikutana Ngarenaro kujadiliana juu ya maendeleo ya kata yetu .
Katika kikao hicho ULIJOTOKEZA MJADALA JUU YA :
"wapinzani kutoka nje ya bungeni na kauli ya vijana wa chadema (CHASO) kutaka kumpinga Rais Magufuli nchi nzima kwasababu eti anatumbua majipu bila kufata sheria na jambo la pili ni hoja yao yakusema bunge lionyeshwe live"

Kwaujumla tumesema na tunasema;
1.Tumeona miaka 5 ya bunge kuonyeshwa live hatujapata maendeleo ya maana sisi kama wananchi hasa majimbo ya wapinzani, zaidi ya wabunge wetu kuwa na kazi za kitaifa za chama na kuzua migogoro ya kuwajenga wao tu, tunashauri gharma za kuonyesha bunge live bora zije huku kijijini zionyeshe shughuli zetu wanannchi live ili kujipa moyo wenyewe kwa wenyewe.
Nini tuone live?, Mkipigana ama mkitoka nje ya bunge ?watanzania tuwaliwajua kwa vurugu zenu tukajua labda mnambadala wa maendeleo ,tumewachagua ata madawati mmeshindwa kutuletea,Rais anatuletea mnaleta kelele mnataka kumkwamisha.
Hatuna maana kwamba upinzani usiwepo, uwepo wa ushauri badaa ya uchaguzi mkuu si kukwamisha maendeleo.
Hili la kumkwamisha rais mtatuua wananchi wote hatutakubali na ndio maana tunamwambia Mh Rais wakikusumbua sana livunje bunge turudi kwenye uchaguzi waone kama tutafanya tena makosa,nchi yetu ilipofikia lazina tuache tabia za nyumbu,tumefukuzwa sana na umasikini rais anatusaidia tumeanza kusahau ata ada na michango mashuleni.

Nyumbu anaweza kufukuzwa na simba akifika eneo lenye manyasi mazuri anaanza kula na kusahau alipotoka kama anafukuzwa, matokeo yake simba anamla kirahisi.hatutakubali wananchi kuwa nyumbu.

2.Tunawasubiria hao BAVICHA\CHASO waje na maandamano yao nchi nzima eti kumpinga rais na kutuletea haki zao binadamu,tutawachinja hao,tunakwambia rais mtu yeyote atakae kupinga katika mambo unayoyafanya ambayo sisi masikini tunaona fika niyakutukomboa, huyo ni adui yetu hatutamuacha bora tukafie jela.

MWISHO
Tunasisitiza Mh Rais ukiona unawaelimisha hawakuelewi tunakusihi livunje bunge ili tukuchagulie wawakilishi ambao wataenda na kasi yako.
hatutaki bunge live ila tunataka tupate maji,barabara,afya na mikopo ya milioni 50 LIVE.
KUWASILIANA NASI KWA NIABA YA WANANCHI WATANZANIA NA HASA WA ARUSHA MR MUNISHI SIMU 0754 059 178
TUMEWACHOKA

Source Amilado.
 
Kama Arusha ya mjini kati ya kula mirungi hamjakosea.
 
Mumshikishe adabu nani bwana? Think big!
 
Ningetetemeka ningeweza kuandika? Au hujui maana ya kutetemeka?
Ile konyagi isiyolipiwa kodi mbaya sana

Back
Top Bottom