Rais Magufuli amteua Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba

Status
Not open for further replies.
Acheni kumpa sifa za kijinga kigogo, hizi habari zilisambaa wiki karibia mbili zilizopita, na kuna Uzi humu km wiki mbili zimepita ulikuwa unaongelea maswala ya TISS nikawaambia kwa taarifa za chini chini Kapilimba atapumzishwa kutokana na afya yake kutokuwa imara, na habari za Diwani kuapishwa ziko tng Jana so hapo hakuna kipya wala kigogo
Weka hiyo taarifa uliyosema hapa,weka link tumalize mzizi wa fitina.
 
Msiwe wasahaulifu; wakati Diwani anaapishwa kuwa mtendaji mkuu wa TAKUKURU Mh. Raisi alisema kabisa akiwa polisi alikuwa na kazi nyingine (TISS) hivyo siyo mgeni kwenye system

Ungesoma vizuri ungeelewa nilichokisema!

Kuwa wakala wa TISS haitoshi, mtu yeyote anaweza kupewa au kufanywa wakala baada kufuatwa taratibu!

Naongelea utendaji kazi wa kila siku wa Kitengo, sio kutumwa kupeleka umbea tu wa ofisi unayofanyia kazi!
 
Haya mambo sio ishara njema sana. Kwa kipindi kisichozidi miaka 4 cha uongozi wa raisi magufuli, huyu ni mkurugenzi wa tatu. Kwa unyeti wa idara yenyewe na mabadiliko mengi kiasi hiki; viashirio ni viwili, idara haikuwa inafanya kazi kwa ustadi ama idara haikubaliani na maelekezo raisi. Hili la pili linaweza kuwa na nguvu zaidi, na kama ndivyo raisi anaweza kuwa shakani. Pongezi nyingi zimwendee kachero mbobezi.
Still predictions
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom