Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,604
- 4,272
Thats itWakuu kapilimba hajatumbuliwa kastaafu, na Ikulu imemnunulia gari mpya ya zaidi ya Tsh400mill akapumzike nayo. Umri ushafika hajatumbuliwa
Thats itWakuu kapilimba hajatumbuliwa kastaafu, na Ikulu imemnunulia gari mpya ya zaidi ya Tsh400mill akapumzike nayo. Umri ushafika hajatumbuliwa
Wakuu kapilimba hajatumbuliwa kastaafu, na Ikulu imemnunulia gari mpya ya zaidi ya Tsh400mill akapumzike nayo. Umri ushafika hajatumbuliwa
Hongera yake, asafishe takataka zote hapo.
Haya babu endelea kuuza karanga kijiweni ila ungalie camera za selfie zisipite na mtuAcha kukariri ujinga,mbona hushangai Trump kabadili washauri wa usalama wa ikulu na huyu bolton anakuwa ni wa nne.
Mimi na wewe hatuko ikulu na hatujui yanayojiri.
Tuache ufundi wa maneno watanzania kila mtu mjuaji.
Wanaogopa wasijeulizwa walijuaje haaaaa hii ndo jamii forum source all reliable infomation but refuses till it become trueMimi niliweka mapema sana ila Mods wakaipin post yangu sijui walikuwa nao hawana uhakika ama vp
Labda tukumbushane ivi Nape akat anaomba msamaha aliongea nini zaidi
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Kule Trump na Bolton. Huku Magufuli na Kipilimba.
Kama wanaambizana.
He! kumbe ulikua unajua muda mrefu.. uko ofisi hizo mkuu? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hakuna kitu km hicho, hizi habari za diwani kwenda pale zina wiki mbili na huyo Nape kaenda Jana acha kuinganisha mambo yasiyokuwepo
Na kuonheza maumivu na machungu siku zijazo kuna kundi limepaniwa so lets be carefull in our own land How comestaka taka zipi sasa ?
nahisi wasio julikana watarudi kwa kasi.
Mungu Ibariki Tanzania , Mungu Ibariki Afrika .
Rais Endelea kufanya kile unachokiona wewe ni sahihi na sisi tunakuombea kwani Wahenga walinena :
" SIRI YA MAITI AIJUA MUOSHA " View attachment 1205461
unapaniki mambo ya kibwege sana kwani asubuhi inaanza na kuisha sa ngap?Kigogo kapost habari hii 10:46...leo habari imeingia JF muda wa saa 11:49...leo !!! Nitofauti ya saa moja...Hiyo yakusema toka asubuhi....unaitoa wapi?
Recently amesema MK yuko chini ya ulinziHeshima kwako Kigogo2014 ulisema hili tangia asubuhi,Kigogo ni Ghost Aiseeee Salute You ,u r the mofo on da planet.
Sasa Kipilimba zile Vurugu za Misafara ya gari tatu njia nzima kajaa yeye hakuna tena ndio maana jana alikuwa na gari moja tu hahahahaaaaaaaaaaaaaaa.
View attachment 1205432
kachape kazi huku ukimtanguliza mungu mbereHongera na kazi njema Mkuu Diwani
mla makande=mchaggaHii code ni ngumu aiseee
Huwezi jua mi ndo .... Dab