Rais Magufuli amsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu(Bunge) - Uledi Abbas Mussa

Yaliojiri leo katika Kikao cha Balaza la Mawaziri!

dn.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho kimefanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano katika Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma.
Wakati yeye akifanya mikutano Bashite anafanya sherehe ya kujipongeza muda wa kazi
 
Ifike mahali rais akimsimamisha mtu kazi atoe na sababu za maana
What do you mean aweke sababu za maana? Kutozingatia taratibu zinazotakiwa katika kushughulikia masuala ya uwekezaji sio sababu ya maana? Au mkuu umejisikia tu kuchangia comment but you didn't mean anything in particular?
 
Ndugu Uledi Abbas Mussa alikuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Viwanda na Biashara enzi za Kikwete.
 
Mimi sijaona uhusiano kati ya 'uwekezaji' na Bunge. Labda kama huko Bungeni kuna uwekezaji lakini je utakuwa ni wa aina gani?
Hongera kwa kunote hilo. Kuna jamaa kahusisha na ishu ya madereva kuitwa na bunge, nahisi kuna ukweli. Nyakati hizi ukiambia rangi ya kitu ni nyeusi, usikubali mpaka ukione hicho kitu.
 
Waliosema nguvu ya soda wako wapi, mwaka wa Tatu unaenda sasa nguvu Ile ile tu
Duh! Hata miaka 2 hajafikisha lakini unahesabu anaenda mwaka wa tatu!! By the way, staili ya JPM ilikuwa ni kutumbua na sio kusimamisha kusubiri uchunguzi!! Hiyo ni dalili ya kuanza kuishiwa pumzi hata kabla miaka 2 hajamaliza!!!
 
Back
Top Bottom