siku ambayo Jua. Litachomoza kaskazini kuelekea kusiniRC Makonda yeye zamu yake lini?
Wakati yeye akifanya mikutano Bashite anafanya sherehe ya kujipongeza muda wa kaziYaliojiri leo katika Kikao cha Balaza la Mawaziri!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho kimefanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano katika Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma.
Kafanyaje????Mbona kwa Home boy Bashite kuna kigugumizi?
What do you mean aweke sababu za maana? Kutozingatia taratibu zinazotakiwa katika kushughulikia masuala ya uwekezaji sio sababu ya maana? Au mkuu umejisikia tu kuchangia comment but you didn't mean anything in particular?Ifike mahali rais akimsimamisha mtu kazi atoe na sababu za maana
atakaovuka ni waadilifu tumiaka hii ni kukaa macho sana...
si ajabu ukashangilia leo kesho ukaamka ni baba yako au wewe...
watakao vuka utawala huu watakuwa na historia ya kuandika....
Waliosema nguvu ya soda wako wapi, mwaka wa Tatu unaenda sasa nguvu Ile ile tu
Hongera kwa kunote hilo. Kuna jamaa kahusisha na ishu ya madereva kuitwa na bunge, nahisi kuna ukweli. Nyakati hizi ukiambia rangi ya kitu ni nyeusi, usikubali mpaka ukione hicho kitu.Mimi sijaona uhusiano kati ya 'uwekezaji' na Bunge. Labda kama huko Bungeni kuna uwekezaji lakini je utakuwa ni wa aina gani?
Duh! Hata miaka 2 hajafikisha lakini unahesabu anaenda mwaka wa tatu!! By the way, staili ya JPM ilikuwa ni kutumbua na sio kusimamisha kusubiri uchunguzi!! Hiyo ni dalili ya kuanza kuishiwa pumzi hata kabla miaka 2 hajamaliza!!!Waliosema nguvu ya soda wako wapi, mwaka wa Tatu unaenda sasa nguvu Ile ile tu