Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Leo Magufuli ametuthibitishia kuwa vurugu wanazofanyiwa wapinzani zinafanywa law baraka zake na maelekezo anafanya yeye.

Pia Rais Magufuli leo amethibitisha kwamba uchaguzi huu si lolote kwake hata kama atashindwa atang'ang'ania kukaa madarakani kwa nguvu.

Leo pia imethibitisha kuwa Magufuli anataka kubadili katiba ya nchi abaki kuwa rais wa Miller.

Ni wakati sasa wapinzani waache kunadi ilani waanze kunadi mapinduzi ya kumuondoa madarakani kabla hata ya tarehe 28 October.
Ngumu sana matoto ya Mafisadi ni mengi mno yaani sijui tufanyeje tu.
 
kurlzawa,

Pamoja na matusi kibao, kila anapohutubia anatia hofu wananchi kwamba asipochaguliwa nchi itawaka moto, kwani ni lazima achaguliwe?? na anajianda kwamba akichaguliwa kitu cha kwanza ni kutuwekea Lockdown kwa maelekezo ya Robert Amstardam!!
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Rais wa nchi ana kibali cha kuvunja Sheria za uchaguzi? Hiyo mipango ya maendeleo alikuwa wapi Siku zote hadi wakati wa kampeni?
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Mnufaika wewe hatushangai.
 
Hata watoto wa wagufuli hawana kihelehele kama wewe kapuku unaeishi kwa buku 7 kutetea uendelee kutawaliwa
Natawaliwa na nani mimi niko huru naenda popote, nafanya chochote so far sivunji sheria, sijawekewa Lockdown kama anavyotaka Lissu
 
Ngumu sana matoto ya Mafisadi ni mengi mno yaani sijui tufanyeje tu.
Inawezekana sana kwa wiki mbili sasa Magufuli amekuwa akihubiri ubaguzi kwenye mikutano yake huko mkoani Mara, Mwanza, kagera, Geita na Kigoma.
 
G Sam,
Kasome Sheria. Kwani Umesahau kama alikuwa na Shughuli za Kiserikali.

NB akiyekata Pumzi ni yule ambaye anashindwa kumnadi Mgombea wa Chadema anamnadi wa Act wazalendo Kigoma.

Aliyekata pumzi ni yule anayeandamana bila kibali ili kichokoza Jeshi la Polisi.

Aliyekata pumzi ni Yule anayeyajadili ajenda ya ubinafsi ashindwe yeye pamoja na Wabunge wengi ili kiwe kilio cha wengi.

Aliyekata Kata Pumzi ni yule ambaye hata Wagombea wa Chama chake wanamshangaa kuwasaliti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😎😎
 
Huo mchakamchaka wenyewe anakimbiaje!!!?
Hata wewe unaweza amka kesho huna miguu you can't stay fresh forever usimcheke disable hajapenda kuwa ivyo hujafa hujaumbika nakuombea mungu akusikie akupe ata kilema cha uti wa mgongo uje kutamba tena hapa.
 
Back
Top Bottom