Rais Magufuli afanya mazungumzo na Bilionea Dangote

Ila Magufuli anapenda kujiadhili na kushusha hadhi ya nchi yetu kuonyesha udhaifu wa wazi kwenye maswala ya kiuchumi ni mbaya sana hivi washauri wake akina Gambo makonda wanachoweza kumshauri ni kunyang,anya mashamba ya akina Sumaye na kufungia akina Lema , This Guy has to change immediately asiifanye hii nchi ionekana kituko hatutaki kabisa
 
nashindwa kuelewa nani mkweli sasa ishu ya DANGOTE...muhongo yeye kasema uongo mwijage.....kama maigizo ya comedy.....leo mkulu ...kauli nyiing kama hizi mara hatuna nae tatizo...tatizo watu wa kati...mara anataka gesi ya bure ...mara technical problem daaaaaa

waandish wa habari hawajaongea na Dangote...tunahitaj sasa kusikia kauli ya Dangote
Hawa wanaleta siasa mpaka kwenye mambo ya msingi Waziri Mwaijage aliongea la kwake leo raisi anasema la kwake wameshaanza kupitishana lugha.
 
Kweli kabisa watu mmekosa kazi mpaka mtumie muda mwingi hivyo "ku-meditate" kuhusu Dangote??

Either way mshindi ashajulikana.. so haya yote yanayosemwa sasa hivi ni "mazungumzo baada ya habari"
Mkuu wewe ndio professor Muhongo nini mbona unataka kumaliza mjadala kirahisi rahisi hivyo?
 
Hongera kamanda. Naona umejaribu kuifuta hii mada. Itaendelea kukuandama hadi hapo utakapobadilisha ID.
Haaaah eti kubadilisha I'd kwa lipi Mimi uwa sio mnafiki kama nyie wapangusa viatu ......

Awe mbowe ,Lowassa, Magufuli sijui nani namchana tu.....

Na siogopi sasa nibadili Id kwa lipi?.......

Up Uzi ndio wakunifanya nibadili I'd........

Utasubiri sana na nitawachana tu kwa sababu sina upande......
 
Haaaah eti kubadilisha I'd kwa lipi Mimi uwa sio mnafiki kama nyie wapangusa viatu ......

Awe mbowe ,Lowassa, Magufuli sijui nani namchana tu.....

Na siogopi sasa nibadili Id kwa lipi?.......

Up Uzi ndio wakunifanya nibadili I'd........

Utasubiri sana na nitawachana tu kwa sababu sina upande......
Sioni ajabu kwa sababu huna chembe ya aibu hata kidogo. Sasa ulikua unajaribu kufuta ile mada kwa nini?
 
Julius Nyerere is rolling in his grave; he would never give a state house audience to one businessman to discuss the affairs of his shop.

Pombe Magufuli will run out of excuses, he chalks up every problem of the country to scammers and profiteering middlemen.

Dangote is pulling wool over the eyes of naive Tanzanians. There is no businessman in the universe who would go somewhere and declare genuinely that he is not there to siphon money, but rather to create jobs. Hogwash!

If there are no any problems with the business, why did you fly in to meet the president?
 
Sioni ajabu kwa sababu huna chembe ya aibu hata kidogo. Sasa ulikua unajaribu kufuta ile mada kwa nini?
Kufuta nini si yapo humu Mimi uwa siongei na watu punguani kama ulivyo wewe wala Kazi iliyonileta jamii forum huijui ......

We fanyia buk 7 utulie acha kufatilia maisha ya watu fala wewe utaolewa....
 
Kama kulikuwa hakuna tatizo,
1/Kwanini Dangote alikwenda Ikulu?
2/Kwanini Taarifa hii imetoka baada ya mazungumzo kati ya Rais na Dangote?
3/Kwanini Waziri Mwijage alisema Dangote anataka apewe nishati ya Bure bure?
4/Kwanini Waziri Muhongo alisema Dangote anataka Njia za mkato?

Wakikujibu naomba unitag mkuu.
 
Back
Top Bottom