Maafisa wa wenye dhamana ya kusimamia masuala ya uwekezaji, viwanda na biashara na wizara ya nishati na madini hasa hasa TPDC kundi hilo ndilo linajifanya Miungu wadogo - wanaleta mizengwe mingi wakiwa na lengo la kulipwa chochote, wamekwisha lemaa hawajali hatma ya Taifa letu.
Kinacho takiwa hivi sasa ni JPJM kufanya mabadiriko makubwa katika Wizara ya nishati na madini, Wizara ya biashara na infact katika Wizara ya Biashara asifanye makosa ku appoint tena watu ambao waliwahi kuwa karibu sana na wafanya biashara au kuajiliwa nao, Rais akumbuke kwamba watawatumia hao hao kukwamisha wawekezaji wenye kuleta ushindani kwa marafiki wao ambao ni wafanya biashara wa ndani, narudia kuinsist kwamba JPJM awe makini sana otherwise masuala ya viwanda itabaki ni ndoto tu - wafanya biashara wengi wanataka kuendelea ku-import bidhaa na vyakula sio kujenga viwanda, mfano mzuri ni viwanda vya Sukari, bila Serikali kulivalia njuga suala hili wafanya biashara wa ndani watahakikisha viwanda vya Sukari havijengwi nchini.
Dangote ndiye anaweza kuwa na nia thabiti ya kujenga viwanda vya maana vya Sukari kama Serikali itamkingia kifua asipigwe vita katika kujenga viwanda vingine vya Saruji na viwanda vya Sukari, majamaa wetu wa ndani wengine wanafanya vitu ki ma-mafia mafia kweli kweli, hawataki wawekezaji wakubwa kutoka nje, suala la Dangote is just a tip of an iceberg.
Tena walisema alikuwa anataka gesi apewe bureLabda nimesahau, kuna washkaji wawili walisema kuna tatizo tena na media kurudia huo wimbo kila mara. Wangepiga kimya maisha yaendelee, watu watawashikia bango wale washkaji wawili.
Duuuh... Jaman hata tv huna ukaona, habar??Chanzo cha habari tafadhali, au unaota?
Ukitaka kuharibikiwa mdekeze mtanzania kuwa anaongea ongea ...utajuta kumfahamu, sisi ni watu wa midomo tuWatanzani waongo sana, waliwaaminisha watu wakaamini, shame on you?
Aliyetamka kuwa Dangote alikuwa anataka apewe gesi bure ni nani?Wafukuzwe kwa kosa lipi? ulitaka wakae kimya kwa uzushi ule wa kusema kiwanda kimefungwa na kinahamishwa?
utajiri wa tanzania je.... na bajeti yake ni sawa na utajir wako wa miaka mingapiutajiri wa dangote ni sawa na bajeti ya Tanzania ya miaka mitatu bila kukopa wala kukata kodi matenga ya nyanya
kuna makosa mengi sana yanasomeka ktk fikra zako!Kuna baadhi ya watu wanakesha wakimuomba shetani ahakikishe kuwa Serikali ya awamu ya tano haifanikiwi.
Kuna wengine mpaka wamejivika ujinga kuhakikisha tu wawepo kwenye maombi kwa shetani.
Mbaya zaidi, njozi zao kila mara zinatupiliwa mbali pale ukweli unapojipambanua.
Ni hatari kuishi katika matumaini hewa huku yakiendelea kujazwa ujinga.
Ukweli huwa haupuuzwi na hakuna mbadala wa ukweli.
Dangote case is closed.
Tunasubiri tena bidhaa nyingine ya uongo kuingia mitaani kwa sababu kwa sasa Tanzania kuna tekinologia mpya ya kuzalisha uwongo.
Ninatumaini kabla bidhaa nyingine ya uwongo haijaingia mitaani, watengenezaji watakuwa wamejifunza sababu ya kutonunuliwa au kuoza kwa haraka bidhaa zao za uwongo.