Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Uvccm mbona kimya? Amna aliechaguliwa?
Kivipi mkuu?
Bashe kapewa Wizara ipi?Kwl twabana matumizi tunatoka 19-21 shonza nae atakua anajibu maswali bungeni hahahaa bashe naona kapigwa gundi la maana mdomoni sasa
Yupo kama kawaMwigulu Nchemba Vp wadau? Tujuzane
Hapo basi keshapigwa super glueBashe..utaikosoa tena serikali unayoitumikia?
Nangoja nione kama una tofauti na Kitila Mkumbo
Rais Magufuli ametangaza mabadiliko katika Baraza la Mawaziri na pia kuteua Katibu mpya wa Bunge.
Mahiga, Mwakyembe, Kabudi, nk waendelea kupeta na wizara zao.
More updates:
Kwa ufupi:
Wizara zimeongezeka kutoka 19 hadi 21
Juliana Shonza ameteuliwa kuwa Naibu Waziri (Michezo)
Hussein Bashe: TAMISEMI
Katibu wa Bunge: Aondolewa na kuwekwa mpya
Medadi Kalemani: Wizara ya Madini (imegawanywa kwa sasa)
Angela Kairuki: Waziri wa Nishati na Madini
HKigwangalla amehamishwa na kupelekwa Wizara ya Utalii.
Wizara zimeongezeka kutoka 19 hadi 21, Mawaziri kutoka 19 hadi 21, Manaibu Waziri kutoka 16 hadi 21.
Rais Magufuli: Pia tumeongeza Mawaziri 2 na Manaibu Waziri 5
Hiyo ndiyo ccm tunayo ifahamuHahahaa alisema baraza kubwa ni upotevu wa pesa sasa anazidi kuliongeza tu
Maneno yake mwenyewe yanamtokea puani
sasahivi bashe atakuwa kama kalamaganda subiri utaniambia.Bashe mchawi mpe mtoto akulelee
Itakuwa ni polepole styleTuone kama bashe atakataa uteuzi