Rais Magu akamue zaidi ya hivi afanyavyo

kanyanga

Senior Member
Jul 15, 2011
110
68
Ndg zangu wanabodi,nawasalimu nnyote.

Ni kweli kwamba Mh Rais Magufuli si malaika kwamba,kila afanyalo asipate mtu wa kumkosoa.Hiyo ni hulka ya binadamu na hakika hakuna aliyekamilika.

Lakino ndg zangu,kama angepewa nafasi na kueleza uchafu,upuuzi,wizi na ujambazi uliofanywa kwenye rasilimali za taifa hili katika kipindi cha miaka 10 iliyopita,ohhh my GOD naamini kila mmoja wetu angetapika kwa uvundo huo.

Mimi naomba Mh Raisi azidishe kiwango cha speed aliyonayo katika kushughulikia majipu na akiwezekana atamke hadharani kwamba yeye ni Dikteta wa kusukuma maendeleo na kukomesha wizi wa mali za umma
 
Back
Top Bottom