Msukule Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 296
- 58
Mkuu inaonekana umeumia sana kusikia rais kasema yupo tayari kukutana na UKAWA.
Acha Ujinga, Kamuulize Sam Six Ameshapata Mimba Yuko Leba Kujifungua.
Mkuu inaonekana umeumia sana kusikia rais kasema yupo tayari kukutana na UKAWA.
Kule kuna juice, lazima UKAWA waende
Juice za Ikulu mbona wanatulia kama mwanzoni. Ila yule kilema asiende kule
Steling wa mchezo anapojiunga na maadui
Mkuu mbona mchango wangu uko wazi tu hapo ulipo ni quote? Raisi katangaza kuongea na UKAWA hili ni jambo la heri na hekima sana kwa nchi yetu hii ni njia ya kuepuka machafuko.Lakini utakuta mijitu iko majukwaani na vijitu viko mitandaoni vinazungumzia JUICE just JUICE.Unajua mkuu kuna watu sababu ya umbumbumbu tu inadhani IKULU ni mali au ofisi ya CCM.ikulu ni nyumba ya KILA Mtanzania.Mkuu kuna taarifa ilitoka miezi ya juzi tu kuwa WATANZANIA ni watu wenye IQ ndogo sana sina uhakika nchi ilikua ni ya ngapi klutoa chini.mimi huwa naaamini michango ya kijinga ya makada wa chama fulani ndio huwa inachukuliwa kama sample.sio utani mkuu.iq ndogo sana kuliko mataifa mengine....aaaa bana mbona tuna madictor kibao acha utani changia maada
Mimi ni mtanzania , bila kujalii ni mama salma au nani, nasimama katika ukweli mkuu, UKAWA mmekosa dira kabisa
Acha kujitoa ufahamu ccm wanajua 2015 watakuwa wanashida kubwa
1. Kumteua Lowassa fisadi kuwa mgombea wa urais ambaye hata baba wa Taufa Marehemu mwl jk nyerere alimkataa/ kumwondoa kwenye orodha ya wagombea huku wakijua hatanyamaza,maana kamati kuu iko mfukoni mwake
2. Kumuacha Lowassa ni kuahindwa kwa ccm au kumkabidhi kijiti ni kuandaa majibu ya kwa nini hatuba maji,kwa nini alijiuzuru,kwa nini Mwakyembe alisema kuwa mengine ameficha kuwa siri kwa usalama wa nchi,vinginevyo serikali ingeanguka, je alimficha nani aliyekuwa mgongoni mwa Lowassa
3. Ccm isipohakikisha katiba inaandikwa na kwa kuwa walidandia basi mbele huku wakiwa hawana nia njema,watasalimika?,kikwete anatafuta sehemu ya kutokea ili ukawa wakienda tu ikulu aunganishe doti za mwigullu nchemba kuwa tumekubaliana na wajumba ambao hawakulipwa/ kutiingia bungeni wamekubaliana atawalipa ili kujenga umoja na mshikamano.
kwa taarifa yako,ukawa hawakanyagi ikulu,ngoja yau lipasukie mikononi mwake
Mkuu inaonekana umeumia sana kusikia rais kasema yupo tayari kukutana na UKAWA.
Steling wa mchezo anapojiunga na maadui
Wakati mwingine mkuu wa nchi anapotamka mambo mazuri ili kukwamua huu mgogoro wa kikatiba tulio nao nchini, nivema tungetumia busara ili ukawa wasijewakakaza kamba ikawa baraaaaaa!!
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na vyama vinavyounda UKAWA ili kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya iliyo bora kwa watanzania wote itakayozingatia maoni ya makundi yote ya kijamii na kisiasa kuliko inavoendelea hivi sasa huko bungeni.
Ameyasema hayo akiwa kwenye ziara yake mkoani Morogoro.
Source : ITV habari za saa kwa ufupi.
Quicky acting president.
Well done,
Well done presidar!
Nasia, kichefuchefu sana kwa kweli, muda wote alikuwa wapi?
Mimi ni mtanzania , bila kujalii ni mama salma au nani, nasimama katika ukweli mkuu, UKAWA mmekosa dira kabisa