Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,917
- 1,660
kilichokupendezesha!
kilichokupendezesha!
Tukio hili ni la kuonyesha kwamba kuna watu wanamzushia kwamba afya yake ni mgogoro lakini pia kama madaktari wamemruhusu basi wameridhika na afya yake. Misukosuko iliyompata wakati wa kampeni inaonekana ilitokana na uchovu.
kila binadamu anaumwa ingawa kuna watu wanapenda kuongeza chumvi kwenye afya ya Rais kwa sababu za kisiasa.
KAMA ANA MAGONJWA SASA ndio YATAAMKA!
Kilimanjaro si ya mzaha na vicheko bana.
Hana jipya. Anamsubiri Mungu wake amweke pema peponi akalipe huuni aliowafanyia wa TZ.Augustine Lyatonga Mrema naye alikuwepo.
Natumaini wakifika mbele watavaa mavazi (nguo na viatu) vya kupandia mlima. Vinginevyo baridi si kali sana huko mlimani?
Kwa kawaida nguo hubadilishwa kulingana na eneo wanalofika kelekea kileleni. Kila mtu anaelekezwa nguo za kubebe nyepesi na nzito, pamoja na viatu vyepesi na vyenye kuhimili badili
wala hana habari ya kushughulikia mgomo wa madokta kana kwamba haujui!Kwenye mambo ya sherehe yuko active.
Hivi viatu hata kichuguu huwezi kupandia
Atafika au ana sindikiza tu?
Huyo kisha ipanda akiwa jeshini Monduli. Hilo jitu wee wacha tu, lina sifa zote za uongozi;
Mwanajeshi mwenye cheo kizuri tu.
Mwalimu.
Mwana Diplomasia aliyebobea.
Mwanasiasa.
Mtendaji mzuri sana.
Kama ni Rais basi Watanzania hapo tunae wakujivunia kwa sana tu. Hakuna katika Marais wote tuliowahi kupata mwenye sifa za JMK na hakuna anaempata kwa utendaji kazi (hata nusu) katika wote waliopita.
Hivi viatu hata kichuguu huwezi kupandia
Duu, anampoza Sarakikya baada ya mtoto wake kupigwa chini ubunge.
President Jakaya Mrisho Kikwete presents General Mirisho Sam Hagai Sarakikya, the country's top climber who at 78 years of age has scaled to the roof of Africa 38 times and plans to make his final climb when he turns 80