MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
kwanini umeipenda hii wakati ya 2 ni nzuri zaidi?
tuwekeane dau wewe weka jiwe mi najitoa muhanga kupigwa life ban endapo atapanda kwa miguu yake walau mita 3000.Tukio hili ni la kuonyesha kwamba kuna watu wanamzushia kwamba afya yake ni mgogoro lakini pia kama madaktari wamemruhusu basi wameridhika na afya yake. Misukosuko iliyompata wakati wa kampeni inaonekana ilitokana na uchovu. kila binadamu anaumwa ingawa kuna watu wanapenda kuongeza chumvi kwenye afya ya Rais kwa sababu za kisiasa.
President yk ngangari worry not atafika na kurudi poa.KAMA ANA MAGONJWA SASA ndio YATAAMKA!
Kilimanjaro si ya mzaha na vicheko bana.
Hii nimeipenda. Kamera haikutenda haki, walau ingemnasa akiangalia kwake!
mawenzi?????
hafu yule mchungaji anasema Wakwere wachafu, muonyesheni picha ya 2, jinsi kijana wa kikwere alivyopozi akingoja picha
usiseme wamama wa CCm sema chakula rahisi!Naona wamama viherehere wa ccm wamezagaa moshi nzima na jezi zao,
tuwekeane dau wewe weka jiwe mi najitoa muhanga kupigwa life ban endapo atapanda kwa miguu yake walau mita 3000.
kubali yaishe mshua anaweza kupanda ndege tu mlima hauwezikupanda mlima kilimanjaro hakuna kuapiza hata vijana hawafiki. Mimi nilipanda tukiwa 18 tulifika kileleni 8 na wote vijana. hata akishindwa hakuna uhusiano na kukosa afya.
Kwani amepanda mlima ama alikuwa anawatakia kheri wanaopanda?
, March 05, 2012
http://2.bp.blogspot.com/-6Yo6eejGlqY/T1TPeuSOQbI/AAAAAAABJaI/zSTZKAU3GW4/s1600/k2.jpg
President Jakaya Mrisho Kikwete with young climbers from Botswana.
http://4.bp.blogspot.com/-ux38b4PXGqY/T1TP8xd5JeI/AAAAAAABJao/gHy7rgIhAUk/s1600/k6.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-yA9BTwwjhS0/T1TP-4vPWyI/AAAAAAABJaw/Y1SRy8_S8W0/s1600/k7.jpg