Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Mponda alimponda Dr. Ulimboka kwa nyodo za aina yake .... ? haya ndiyo matunda yake

Madaktari very brave move ....
 
Mfutakamba na Nundu imekuwaje uchukuzi pale..Wapi Maige na kasi yake ya utendeji kumbe alikuwa kimslahi zaidi..Twiga zaidi ya 100 wanapandishwa ndege bila yeye kujua..!!duh, basi tu.
 
Kigoda, Mgimwa na January chaguo zuri. Ila huyu Adam Malima angepigwa chini.

KAKA KIGODA UMEMSAHAU ENZI ZA MKAPA NA WAKINA JUMA NGASONGWA HAWA NDio walituuzia viwanda vyetu leo tunalia hata kiwanda cha kiberi kibo match moshi kimekufa halafu unamshangilia pole sana nduguyangu? huyo mtoto wa mwinyi na kawambwa waliwahi kuwepo hizo wizara walifanya nini??? JK AMALIZE AKAFIE MBELE TU HANA MAANA.... WOTE NI WALE WALE.. HOVYOKABISAAA
 
Inamaana Ngeleja amekosa hata Wizara ya Sheria.? Au alipewa akakataa kulinda heshima yake.
 
inaniuma sana kuteuwa waziri asiye na wizara maalum baadae atateua mkuu wa mkoa asiye na mkoa maaalum
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom