a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,389
- 1,330
Kweli Mtanzania Mtu Mzima ... kuna mweye shauku ya dhati kuhitaji kujua ..huo mkusanyiko mpya ..wa hao watu ..!! Kwani unatofauti gani na ule uliopita? Gari wabadili rangi au Dereva ili kupata safari yenye matumaini na neema????
Mbaya zaidi hata abiria wenyewe hawahijui njia, lengo lao ni kufika Arusha kutoka Dar, wamepanda mtumbwi na hawashangai wanapigiwa soga za sungura na fisi na nahodha, siku zinaenda wanatokomea tu baharini, hali watoto wao wanawasubiri stendi Arusha! WANATOKOMEA BAHARINI, KINA KIREFU WAMEPANDA MTUMBWI, wanaenda Arusha, watafika? WATAANGAMIA TU, HAPONI MTU!
Mungu wetu anaita!