Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
Maisha bora kwakila Mtanzania
sawa hiyo daily news ya lini toleo namba ipi ili waliopitwa walitafute kwa udhibitisho
Baraza la Mawaziri linavunjwa siku anayoapishwa raisi mteule
Inasikitisha sana iko wapi ile jamii forums ya zamani..Kwani imevamiwa na vilaza hawajui nyuma wala mbele na hawataki kuuliza..Hebu kasomeni katiba ya mwaka 77 ya JMT na mtajua kikomo cha mawaziri na mtu anaambiwa gazeti la serikali anasema Dailynews.. Hivi huko shuke mnasoma nini wadogo zangu?kwani mnatia aibu na Jamii forums siku hizi yatia kichefuchefu
jamani muwe mnajaribu kusoma, bunge lilishavunjwa kwa mujibuwa tangazo la serikali katika gazeti la serikali.
Hapa ndio ile maana ya Waziri anaweza kutokuwa mbunge. Sasa bunge kama limevunjwa maana yake ni kwamba na uwaziri una-dissolve kwa kuwa huwezi kuwa waziri pasina ubunge. Hii nchi imekorogwa sana. Tubadilishe kila kitu. CCM ni madikteta na mabwanyenye.