Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


attachment.php
 
Walewale mambula wa sheria, Huyu! hakuna rangi atacha ona kwa akina lissu mwaka huu, Namjua ni kalume kenge wa sheria.
 
Back
Top Bottom