Rais kibaki asalimu amri!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
raha na umuhimu wa katiba mpya imejidhihirisha nchini kenya kwani leo rais kibaki ameondoa majina ya wateule wake aliyowasilisha bungeni bila ya ridhaa ya waziri mkuu!
 
Nadhani kuna baadhi ya mambo mazuri inabidi tu-copy and paste kutoka katiba ya kenya, no moja wapo ni kama hili... kupunguza nguvu za raisi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom