Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,449
- 574
- Thread starter
- #21
akiwa bongo anahis yupo ukweni
Mimi kura yangu mpaka leo siijutii niliona mbali zaidi ya miaka mitano.Mara mia ningempgia kura Dovutwa
Mi nilizani amerudi jana kwamba amekatisha ziara
Naomba kujuzwa amerudi ziara imeisha au amerudi bse kuna machafuko
Kwa mtazamo wangu naisi kama ziara labda imeisha maana on serious issues always huwa namuona hayuko serious