Rais, ichunguzeni Halmashauri ya Kyela

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,343
Baada ya kufichuka kwamba Watendaji wa Halmashauri ya Mbeya ni wezi na kuthibitika kuwa , wamechepusha mapato ya halmashauri na kugawana wanachochepusha (yaani Pasu pasu) , Nakuomba sana Mh Samia uimurike Halmashauri ya Kyela .

Halmashauri ya Wilaya hii hakuna anayeiamini tena baada ya KUGAWA SOKO LA WILAYA YA KYELA BURE KWA CCM , Soko hilo ambalo ndio lilikuwa Chanzo pekee cha Uhakika cha Mapato ya Halmashauri hiyo limegawiwa katika mazingira ambayo yamegubikwa na giza nene , Wananchi wengi wanaamini kwamba ccm inasingiziwa tu , Wanahisi kwamba soko hilo limemilikishwa kwa baadhi ya Vigogo wa ccm wilayani humo .

Wakati soko hilo inanyang'anywa Halmashauri na kupewa kinachoitwa CCM , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo aliitwa HUNTER MWAKIFUNA , aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ipinda , Mbunge aliitwa Dkt Harrison Mwakyembe , sikumbuki DED aliyekuwepo .

Kwa ujumla Halmashauri ya Wilaya ya Kyela imekabidhi maeneo yote ya wazi na club za Pombe za kienyeji , ambazo wazee walikuwa wanajiburudisha mida ya jioni kwa ccm , Naweza kuthibitisha kwamba Club cha kienyeji kinachoitwa MKIBHEGE cha kijiji cha Bondeni , eneo la wazi ambalo wananchi walijenga mabanda ya kuuzia UBWALWA imekabidhiwa kwa ccm na wanachukua kodi .

Swali letu ni hili imekuwaje Halmashauri ya Kyela imejinyang'anya mali na kuipa ccm ? Je ni kweli jambo hili au wako Watumishi kama wale wa Mbeya wamejichepushia Mambo haya ili Wajilie Mali ya Umma ?

TUNAKUOMBA MH RAIS UIMULIKE HALMASHAURI HII KWA DARUBINI KALI
 
Baada ya kufichuka kwamba Watendaji wa Halmashauri ya Mbeya ni wezi na kuthibitika kuwa , wamechepusha mapato ya halmashauri na kugawana wanachochepusha (yaani Pasu pasu) , Nakuomba sana Mh Samia uimurike Halmashauri ya Kyela .

Halmashauri ya Wilaya hii hakuna anayeiamini tena baada ya KUGAWA SOKO LA WILAYA YA KYELA BURE KWA CCM , Soko hilo ambalo ndio lilikuwa Chanzo pekee cha Uhakika cha Mapato ya Halmashauri hiyo limegawiwa katika mazingira ambayo yamegubikwa na giza nene , Wananchi wengi wanaamini kwamba ccm inasingiziwa tu , Wanahisi kwamba soko hilo limemilikishwa kwa baadhi ya Vigogo wa ccm wilayani humo .

Wakati soko hilo inanyang'anywa Halmashauri na kupewa kinachoitwa CCM , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo aliitwa HUNTER MWAKIFUNA , aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ipinda , Mbunge aliitwa Dkt Harrison Mwakyembe .

Sasa hapo Kuna kesi kweli,maana wametoa pesa mfuko wa kulia na kuhamishia mfuko wa kushoto!
 
Huyo mama hata akishikiwa mkono bwana ”mama mwizi wetu huyu hapa amuru afanywe chochote” hakuna kitu atafanya hata kuamuru aondolewe kazini tu hawezi.

Sasa mambo ni mzobe mzobe hata wewe raia wa kawaida ukipata slope shuka nayo usivunge ukikutana na shamba au eneo wazi sijui la shule au zahanati wewe uza sema umetoa mkataba kwa mwekezaji baada ya halmashauri kushindwa kuendeleza atakuelewa mama hana tabu na mtu mshahara wake unaingia ving'ora vinalia akipita ana wasiwasi gani?
 
Daaah !!
 
Baada ya kufichuka kwamba Watendaji wa Halmashauri ya Mbeya ni wezi na kuthibitika kuwa , wamechepusha mapato ya halmashauri na kugawana wanachochepusha (yaani Pasu pasu) , Nakuomba sana Mh Samia uimurike Halmashauri ya Kyela .

Halmashauri ya Wilaya hii hakuna anayeiamini tena baada ya KUGAWA SOKO LA WILAYA YA KYELA BURE KWA CCM , Soko hilo ambalo ndio lilikuwa Chanzo pekee cha Uhakika cha Mapato ya Halmashauri hiyo limegawiwa katika mazingira ambayo yamegubikwa na giza nene , Wananchi wengi wanaamini kwamba ccm inasingiziwa tu , Wanahisi kwamba soko hilo limemilikishwa kwa baadhi ya Vigogo wa ccm wilayani humo .

Wakati soko hilo inanyang'anywa Halmashauri na kupewa kinachoitwa CCM , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo aliitwa HUNTER MWAKIFUNA , aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ipinda , Mbunge aliitwa Dkt Harrison Mwakyembe .

Kwa ujumla Halmashauri ya Wilaya ya Kyela imekabidhi maeneo yote ya wazi na club za Pombe za kienyeji , ambazo wazee walikuwa wanajiburudisha mida ya jioni kwa ccm , Naweza kuthibitisha kwamba Club cha kienyeji kinachoitwa MKIBHEGE cha kijiji cha Bondeni , eneo la wazi ambalo wananchi walijenga mabanda ya kuuzia UBWALWA imekabidhiwa kwa ccm na wanachukua kodi .

Swali letu ni hili imekuwaje Halmashauri ya Kyela imejinyang'anya mali na kuipa ccm ? Je ni kweli jambo hili au wako Watumishi kama wale wa Mbeya wamejichepushia Mambo haya ili Wajilie Mali ya Umma ?

TUNAKUOMBA MH RAIS UIMULIKE HALMASHAURI HII KWA DARUBINI KALI
Lakini Kwa nini Rais asifute kuanzia DC,DED,Kamanda wa Takukuru Wilaya na DSO? Harafu hao watu wafikishwe kortini.

Kujisemesha tuu kwamba anasubiria ripoti ya Tamisemi eti ikiwa diluted wataanza na wao haitoshi,awafute kazi ndio uchunguzi uendelee.

Hii Nchi ukiaangalia mambo yanavyokwnda Huwa inashangaza sana eti Waziri ndia aje kutolea maamuzi jambo dogo la Wizarani wakati Kuna viongozi kuanzia Mkoa Hadi kitongoji.

Ndio maana nilimsikia Prof.Assad anasema kukiuka taratibu kwa maslahi ya Nchi ni jambo zuri kuliko Kufuata taratibu zinazoumiza Nchi..
 
Nani kama mama ?
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Back
Top Bottom