BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,029
Kuwatumikia watu watatu wenye interest tofauti ni kazi kubwa sana Mkuu lazima kutatokea conflict of interest.
Kuna kundi la mafisadi akina Lugumi, Escrow, Wakwapuzi wa UDA, PRIDE, IPTL etc hawa wanataka waendelee kulindwa kwa gharama zozote zile ili wasipandishwe kizimbani kwa maovu yao vinginevyo nchi itawaka moto.
Wenye kipaumbele namba mbili ni CCM hawa wanataka kuhakikishiwa kwamba wanabaki madarakani milele hata kama watafanikisha hili kwa kubaka demokrasi.
Halafu kundi la mwisho ni la Watanzania ambao tunataka kuwepo kwa utawala wa sheria, katiba tunayoitaka ya rasimu ya Warioba na nchi kunufaika na kupata maendeleo ya haraka kutokana na rasilimali zetu chungu nzima nchini.
Sasa unapokuwa madarakani na mara nyingi kuwapa upendeleo maalum kundi la kwanza wakifuatiwa na kundi la pili mara nyingi lazima kutokee conflict of interest kwa kulisahau kundi la tatu (Watanzania)

Hivi Ngosha amekosa kabisa mbinu ya kukuza uchumi na kuongeza ajira?
Hili ndio tatizo la kuongozwa na mtu mshari, anataka kupambana muda wote!
Ushauri wangu kwa Ngosha ni kuwa akihangaika na kila mbwa anayebweka njiani hata fika safari yake.