Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 819
- 515
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma tarehe 9 Mei, 2024.