Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,599
- 368
Kuna wakati mwalimu Kambarage alishawahi kusema "Kiongozi bora atatoka CCM", nimegundua kwamba kumbe alikuwa anamaanisha kuwa kiongozi bora ataondoka CCM na kujiunga na upinzani kama alivofanya E.N Lowassa. Hatimaye maneno ya mwalimu yametimia.