Rais bora atatoka CCM - Mwalimu Nyerere

wewe una mtindio wa ubongo, nukuu gani hii? Nyere alisema mwenyewe kuna mambo alifanya mazuri na mengine ya kijinga, wewe unatuletea la kijinga umeacha mazuri... Mjinga mkubwa wewe, pipooozz?
 
wewe una mtindio wa ubongo, nukuu gani hii? Nyerere alisema mwenyewe kuna mambo alifanya mazuri na mengine ya kijinga, wewe unatuletea la kijinga umeacha mazuri... Mjinga mkubwa wewe, pipooozz?
 
Watu wngi hapa nchini wamekuwa wakitumia nukuu mbalimbali za Mwl Nyerere pale wanapotaka kukosoa ama ku-support jambo fulani. Nilifuatilia kwa makini moja ya hotuba zake akiwa anahutubia mkutano mkuu wa CCM na alisema, na nukuu" KATIKA MFUMO HUU WA VYAMA VINGI, RAIS ANAWEZA KUTOKA KATIKA CHOCHOTE. LAKINI, RAIS BORA NI LAZIMA ATOKE CCM! Tatizo letu sisi Watanzania tumekuwa kama bendera, tunafuata upepo unapovuma. Kama kweli tunampenda na kumthamini na kuthamini mawazo na hekima za Mwl Nyerere, hatuna budi kumchagua JK na hapo ndipo tutakuwa tunamuenzi Baba wa Taifa ktk hii miaka 11 ya kifo chake.

Una akili najua, endelea kusoma pale uliponukuu ulete tena hoja. Atatoka CCM kama ni mzalendo ndugu yangu, siyo unaongea tu kwa sababu ya mapenzi ya chama. Yaani hapa wewe unatoa pumba, kwani ukijali tu usisiemu, basi hata jambazi atapewa nchi aongoze basi. Kumbuka, sisi hatuchagui chama mzee, tunachagua mtu muadilifu. Hata JK angekuwa muadilifu, tungempa kura, sasa tatizo ni FISADI. Hatuchagui mafisadi. Kama hilo hujui, uliza
 
kama ni hizo shule ni sisi wenyewe ndo tumechangia kujenga wao wametoa bati,maana yake nini wanapojinad kuwa tumejenga shule za kata?kwa kweli watanzania tubadilike,wabunge wa kusinzia bungeni hawafai,wanaopitisha miswada bila kuhoji kwa masilahi ya chama na si ya sisi tuliowapa kura za kuingia bungeni ni:jaw: wajinga na hawatufai.
 
After all hakuna kilichoharibika. Nadhani hukumuelewa vizuri mwalimu. Dr. Slaa (expected 5th president of URT) alitoka CCM 1995 na ndio expected to be raisi bora kama mwalimu alivyotabiri. Nenda waambie ndugu zako, watoto wako, wake/waume zako, magirl/boyfriend wako and jamaa zako wote kwamba tarehe 31 october wampigie kura za ndio raisi bora Dr. W. P. Slaa (PHD) kuwa raisi wa awamu ya tano ya jamuhuri ya muungano wa TANZANIA
 
Watu wngi hapa nchini wamekuwa wakitumia nukuu mbalimbali za Mwl Nyerere pale wanapotaka kukosoa ama ku-support jambo fulani. Nilifuatilia kwa makini moja ya hotuba zake akiwa anahutubia mkutano mkuu wa CCM na alisema, na nukuu" KATIKA MFUMO HUU WA VYAMA VINGI, RAIS ANAWEZA KUTOKA KATIKA CHOCHOTE. LAKINI, RAIS BORA NI LAZIMA ATOKE CCM! Tatizo letu sisi Watanzania tumekuwa kama bendera, tunafuata upepo unapovuma. Kama kweli tunampenda na kumthamini na kuthamini mawazo na hekima za Mwl Nyerere, hatuna budi kumchagua JK na hapo ndipo tutakuwa tunamuenzi Baba wa Taifa ktk hii miaka 11 ya kifo chake.

Sijui he/she anamatatizo au ni aje,au anaishi nchi ya kusadikika vile,:A S thumbs_up:
 
About or more than 75% of Tanzanians practising politics are in CCM, thus why Mwalim said "True Opposition must come from CCM itself". Even if today CHADEMA wins general election they must get people from CCM to lead the countrr! They can not lead the country on their own... simply b'se most of polictics/administration practictioners are in CCM. Me & You sitting @ your keyboard now and looking @ your screen we are mostly not among them:dance:
 
Hivi sasa hotuba za Nyerere zinatumiwa kama vitabu vya Dini, bila kujali wakati husika mtu anaweza kutafasiri maneno yaliosemwa kukidhi haja ya moyo wake ili kupata maslahi yake. Nyerere kama mwana CCM tena mwanzilishi hawezi kuamini uongozi bora toka vyama vyinavyoshinda na chama chake mwenyewe, kauli ya Nyerere wakati uli ililenga kumuangamiza Mrema maana ndio alikuwa Tishio la CCM. Na kwa upande wa CCM yenyewe alimlenga Kikwete. kwamba CCM wakifanya kosa kumteua Kikwete badala ya Mkapa Nchi itachukuliwa na Mrema wa Upinzani. Miaka kumi baadae CCM mmefanya makosa mkamteua Kikwete. Watanzania wengi walikuwa hawana chaguo maana upinzani hakukua na m-badala wa Mrema hivyo akapita kirahisi. This time imekula kwenu, sasa maneno ya Nyerere ndio yanatimia. Kimsingi alitakiwa hata hiyo miaka mitano ilopita asipewe.

Hapa hata akamuombe obama aje kumpigia debe hatumchagui. Watanzania hivi sasa hatuchagui Chama tunachagua watu. Ndio maana utaona hata sehemu Chadema walikoweka wagombea wa hovyo wanaambiwa wazi wazi hawatachaguliwa, next time waweke watu makini.

Hii sio ile Tanzania ya Nyerere, hii ni Tanzania tofauti sana. Wakati Nyerere anaitoa hiyo kauli miaka 15 iliopita, mtoto mwenye miaka 3 wakati huo ambae ndio mpiga kura wa leo ataielewa wapi?

Jiandae tu kusikia hotuba ya kwanza ya rais mpya wa Tanzania Dr W.P Slaa. pindi akishaapishwa.
 
watu wngi hapa nchini wamekuwa wakitumia nukuu mbalimbali za mwl nyerere pale wanapotaka kukosoa ama ku-support jambo fulani. Nilifuatilia kwa makini moja ya hotuba zake akiwa anahutubia mkutano mkuu wa ccm na alisema, na nukuu" katika mfumo huu wa vyama vingi, rais anaweza kutoka katika chochote. Lakini, rais bora ni lazima atoke ccm! Tatizo letu sisi watanzania tumekuwa kama bendera, tunafuata upepo unapovuma. Kama kweli tunampenda na kumthamini na kuthamini mawazo na hekima za mwl nyerere, hatuna budi kumchagua jk na hapo ndipo tutakuwa tunamuenzi baba wa taifa ktk hii miaka 11 ya kifo chake.

we ni kilaza kweli yaani hotuba ya kiswahili unashindwa kuielewa je angezungumza kizanaki ungeambulia kitu?fuatilia ile hotuba ya karimjee na waandishi wa habari.1995 pale wagombea walikuwa ni mkapa na kikwete,alisema tunataka mtu ambaye anazijua nyufa na tukumtazama usoni tulione hilo sasas swali kwako wewe kiziwi na kipofu je kama kikwete alikuwa anafaa kwa nini alimpiga chini kwa kura tatu? Ile kusema kiongozi mzuri atatoka ccm ule ni unabii.dr slaa ametoka ccm kwa sababu ya mizenwe.kwa maana nyingine dr ametoka ccm na hata mwl angekuwa hai kwa taarifa yako asngeweza kukaa na rostam,lowasa ,karamaji,na mafisadi wote walioiteka ccm na kifanya mali yao nakibaraka wao kikwete.
Alisema watz wakikikosa wanachokitaka ccm watakitafuta mahali pengine sasa na ukilaza wako niambie hgapo alikuwa anamaanisha tisheti na kofia? Amka usingizini zima taa ya ujinga jua la haki limesha angaza hadanganyiki mtu. Mimi ni ccm ile ya mkulima na mfanyakazi na sii hii ya mafisadi na sitachukua tena kadi ya chama chochote mwaka huu nitampigia slaa na kwa taarifa yako nia wana ccm masalia wenzangu kama 200 ambao tuna kadi za ccm tulizipewa pale kwenye mkutano wa ccm kizota.wote kwa slaa.mpaka hapo atakap[o patikana kiongozi wa kuikomboa ccm kutoka mikononi mwa mafisadi. Ukichukia chuki ukiona kuna haja ya kujiunga na sisi tutakupokea kwa mikono miwili ili tuisafishe ccm ili 2020 kama watatakata tuwarudishe madarakani.
Kumbuka sisi ndio waajiri wakuu na si kama upotoshaji wa kikwete.
 
Nyerere alisema kiongozi bora atatoka CCM ukweli huu unathibitika kwa kuangalia safu za viongozi wa vyama vya Siasa
mfano

1.Profesa Lipumba ni kiongozi bora CUF katokea CCM
2.Seif Sharif hammad kiongozi bora CUF katokea CCM
3.DR.Slaa kiongozi bora Chadema katokea CCM
4.Sinde Warioba kiongozi WA tume ya Katiba ambaye UKAWA wanatamani hata kumwabudu kama mungu mdogo katokea CCM

Vyama vya upinzani pamoja na kuwa na umri wa mtu mzima bado havijaweza toa au tayarisha kiongozi mkubwa wa vyama vyao ambaye hatoki CCM hivyo kuendelea kutegemea wale wale waliotokea CCM .

Nyerere alikuwa sahihi aliposema kiongozi bora ni wa kutokea CCM.
 
Kumbe unaifahamu kuwa Dr.Slaa ni kiongozi bora eehhhh.......hongera kwa kukiri kwako ......
 
Nyerere alisema kiongozi bora atatoka CCM ukweli huu unathibitika kwa kuangalia safu za viongozi wa vyama vya Siasa
mfano

1.Profesa Lipumba ni kiongozi bora CUF katokea CCM
2.Seif Sharif hammad kiongozi bora CUF katokea CCM
3.DR.Slaa kiongozi bora Chadema katokea CCM
4.Sinde Warioba kiongozi WA tume ya Katiba ambaye UKAWA wanatamani hata kumwabudu kama mungu mdogo katokea CCM

Vyama vya upinzani pamoja na kuwa na umri wa mtu mzima bado havijaweza toa au tayarisha kiongozi mkubwa wa vyama vyao ambaye hatoki CCM hivyo kuendelea kutegemea wale wale waliotokea CCM .

Nyerere alikuwa sahihi aliposema kiongozi bora ni wa kutokea CCM.

Mkuu, sijui kama umewaza vya kutosha kabla ya kuandika huu uzi. Iko hivi; Mwaka 1992/95 ndio vyama vya Upinzani vimeanzishwa/kuanza kazi. Kabla ya hapo Watu wote walikuwa CCM (Kwa kutaka au kwa lazima ya mazingira) sasa ukisema kuwa vyama hivyo havijawahi kutengeneza viongozi wao wenyewe unamaanisha kuwa mtoto aliyezaliwa na mmoja wa viongozi wa vyama vya upinzani ktk miaka ya 95 na kuja huku 2000'k ndiye anayeweza kuwa kiongozi aliyetengenezwa na Upinzani.
Kama ndivyo unataka kusema kijana wa miaka 19 na kushuka chini anaweza kuwa kiongozi wa kulinganishwa na hao uliowataja?
 
Si kila mtu alikuwa mwanachama CCM. Ndani ya hivyo vyama wako watu kibao ambao hawajawahi kuwa CCM wala kuwa na kadi yake.Hao ndio naamini wangeweza kuleta ushindani wa kweli wa kisiasa kuliko hawa makapi wa CCM.Take it from me.

Upinzani haufanyi vizuri sana sababu waliotokea CCM tena ile ya zamani iliyokuwa ikiendekeza zidumu fikra za mwenyekiti.Ndio maana wengi wao wababe hawataki mawazo mapya na hawataki kutoka uongozi kupisha wengine.Wana mawazo yale ya ki-CCM ya ile ya zamani.
 
kwa tafsiri nyingine atatoka ni kuwa hataendelea kuwa huko; pengine mwl alikuwa na maana hiyo, ila pia unatakiwa ufahamu nchi yetu ilikuwa na mfumo waq chama kimoja na watu wenye mawazo mbadala walijaribu kushawishi walio tofauti nao ktk vikao vya chama hicho na kwa ushawishi wao ama waliweza kubadilisha baadhi ya vitu, au kwa uchache wao hawakufanikiwa. Vyama vingi ndo ilikuwa mwanya wa kuwatambua watu hao.
 
Huyo Nyerere wako Huyo angekuwa hai leo angemchapa viboko huyo JK. Jaribu kutathimini nini amekifanya nchi miaka 5 ya utawala wake. Jambo la kutia matumaini ni kwamba huko maofsini sijasikia mtu anamfagiliaJK, kwenye daladala hakuna anayemfagilia, jana niliuliza wanafunzi kama wangekuwa wapiga kura mwaka huu wangemchagua nani, kwa kauli 1 bila chenga wanasema CCM hawafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi kumi!
Sasa najuuliza mtu atakaye wapigia kura ni nani?

hakuna rais aiyefanya makubwa ya maendeleo kama jk akimaliza muda wake tutaongea wenyewe,jamaa ni jembe jamani,tatizo ameachia sana demokrasia ya kukosolewa ambayo nayo ni utekelezaji
 
Back
Top Bottom